Hajawekwa sokoni watu watamtakajeKwenye kikosi chenu mchezaji ambaye ukisema ana kiwango na ngumu kukataa ni Reece James.
Lavia hamumuuzi kwakua hakuna anayemtaka, Santos siyo CM wa kuhesabu una CM
Timu pekee inayonunua wachezaji hata wakiwa majeruhi Manchester united, mchezaji akiwa majeruhi unamuweka vipi sokoni?Hajawekwa sokoni watu watamtakaje
Rodri si injury prone kwanini anagombaniwa?Timu pekee inayonunua wachezaji hata wakiwa majeruhi Manchester united, mchezaji akiwa majeruhi unamuweka vipi sokoni?
Mlifanya kosa la kumsajili Victor Gyrokerez na mnataka kufanya kwa omsihen aina yenu ya uchezaji haufit strikers za aina hiyo ya uchezaji na ndio maana Gyrokerez ana struggle kufunga open goal badala yake anategemea penalty. Aina yenu ya uchezaji inamuhitaji zaidi striker mnyumbulifu mwenye uwezo wa kuwa false 9 zaidi ya target Man aina ya Martinez wa inter Milan au Juan Alvarez.Ukimuangalia Oshimen ni aina moja na Gyrokerez.Wakuu, naona Arsenal bado wapo sokoni.
Sasa Andrea Berta yupo azungumza na Galatasaray ambao wamtaka Martinelli.
Arsenal wapo wakipega hesabu kwamba ikiwa Martinelli na Nwanery wataenda Galatasaray basi yawezekana kukafanywa biashara na Victor Omsihen akaenda Arsenal.
Pia Mazungumzo na Aston Villa yaendelea kumsajili Kosa Villa bado wasimamia 60M pauni na Arsenal bado kufika dau.
Tutegemee taarifa nzuri ndani ya masaa 48 yajayo.
Tukumbuke bado Arsenal yahitaji mlinzi, mshambuliaji na winger.
Gabriel Jesus nae yupo jniani kuelekea Napoli baada ya Lukaku kwenda Fenerbahce.
Hivyo, Ezri Konza ni wa kuziba pengo la Saliba, Osimhen ni kuziba pengo la Jesus kama ataenda Napoli na mashambuliaji mwingine wa pembeni ni kuziba nafasi (kama itatokea) Martinelli na Nwanery wataondoka.
Uko sawa na ni kweli aina ya uchezaji wa Arsenal imemuathiri Gyokeres.Mlifanya kosa la kumsajili Victor Gyrokerez na mnataka kufanya kwa omsihen aina yenu ya uchezaji haufit strikers za aina hiyo ya uchezaji na ndio maana Gyrokerez ana struggle kufunga open goal badala yake anategemea penalty. Aina yenu ya uchezaji inamuhitaji zaidi striker mnyumbulifu mwenye uwezo wa kuwa false 9 zaidi ya target Man aina ya Martinez ya inter Milan au Juan Alvarez.Ukimuangalia Oshimen ni aina moja na Gyrokerez.
Kua injury prone na kua injured ni ishu mbili tofauti.Rodri si injury prone kwanini anagombaniwa?
Hawakukosea kuitwa ManyumbuMashabiki wa united wanasema kwamba kumfukuza Hakika Ruben ilikua ni makosa kwakua jana wamepigiwa mpira balaa na back three waliyokua wanasema ni kikwazo.
Nimecheka sana.
Wanalalamika kwamba Carrick kapewa wachezaji wawili tu so hata yeye lazima afukuzwe. Hawa ni mashabiki waliodai wanachukua kombe msimu ujao
Mbna kwangu app Iko poa tu mkuuNapata ugumu sana ku-peruz jf kwa kutumia app. Hili tatizo ni mimi tu?
Hapa nimetumia browser ku-login