Iko wazi.Camp ya Vini walifanya hivyo ili kupush deal na Madrid na hatimaye wamefanikiwa ila Vini hakuwa na mpango wa kujiunga na Arsenal
Nafikiri hizi ni story za kutungwa tu kwa upande wa Chelsea kwa sababu, kama ulivyosema, Chelsea nako kumejaa wachezaji wa namba zake. Nafikiri Manyumbu wana nafasi nzuri zaidi ya kumpata ila sidhani kama dogo ataondoka Arsenal hivi karibuni.Nimeona Kuna tetesi za Skelly kutaka kujiunga na Chelsea anaona atapata mechi chache za kucheza sasa nikajiuliza Kama hapo kwenu anataka assurance ya kupata muda mwingi huku kwetu Chelsea atapataje? sio kwamba ni mchezaji mbaya ni mchezaji mzuri sana lakini huku kwetu tu General Moi Caicedo na Enzo Fernandez na Kuna Romeo Lavia yeye huku atakuwa chaguo la nne hapo ninaposhindwa kuelewa hizi tetesi Kutokana na hizo engine hapo ndio maana tukamuuza Santos kwenda Man u
Na bado akawatandika goli la video, maumivu yatawachukua muda sana kuyasahau.Nyinyi ndiyo mmebikiriwa na Mudryk au umemaanisha nini we kipipa
Mechi ikaishaje we chura wa kihansiNa bado akawatandika goli la video, maumivu yatawachukua muda sana kuyasahau.
Ila mafan wa Arsenal mmeshindwa ku move on kwa Mudryk sijui ni kwaniniMechi ikaishaje we chura wa kihansi
Mudryk ni uthibitisho kwamba timu zinahitaji sports director. Mchezaji anatumia dawa za kuongeza nguvu na bado anacheza kama SterlingIla mafan wa Arsenal mmeshindwa ku move on kwa Mudryk sijui ni kwanini
Usiwe unabet friendly.ARSENAL **** SANA,mnashindwa kuifunga COMO makuma kweli nyie
Hili la kumove on ni kama limewashinda, aisee wanateseka!! hahahaha...... wehu hawa! wakiwaza walishamvalisha na jezi za Arsenal na bado kawatosa ndio maumivu yanazidi.Ila mafan wa Arsenal mmeshindwa ku move on kwa Mudryk sijui ni kwanini
Skelly hawezi kuondoka Arsenal. Hakuna timu itamnunua Skelly ili akakae benchi, kiungo yeyote wa chelsea ili aanze na Skelly aanze inabidi asicheze box to box akubali kua AM kama Enzo. La sivyo anakula bench dogo anaanza.Nimeona Kuna tetesi za Skelly kutaka kujiunga na Chelsea anaona atapata mechi chache za kucheza sasa nikajiuliza Kama hapo kwenu anataka assurance ya kupata muda mwingi huku kwetu Chelsea atapataje? sio kwamba ni mchezaji mbaya ni mchezaji mzuri sana lakini huku kwetu tu kuna General Moi Caicedo, Enzo Fernandez na Kuna Romeo Lavia yeye huku atakuwa chaguo la nne hapo ninaposhindwa kuelewa hizi tetesi Kutokana na hizo engine hapo ndio maana tukamuuza Santos kwenda Man u
Labda camp yake wametumia jina la Chelsea ili apushi maslahi yake hapo klabuni kwenu ni kama anachokifanya Sasa Enzo Fernandez anataka aongezewe mshahara ufike pound 200,000 so akawa anawatumia Madrid na bahati nzuri Madrid wakakanusha na Sasa anawatumia Man City na janja yake Chelsea wamestukaSkelly hawezi kuondoka Arsenal. Hakuna timu itamnunua Skelly ili akakae benchi, kiungo yeyote wa chelsea ili aanze na Skelly aanze inabidi asicheze box to box akubali kua AM kama Enzo. La sivyo anakula bench dogo anaanza.
Kabla hajazidi kua kituko na hii picha yake ni vyema akahama ligi. Huyo Lavia ni pancha sidhani kama kawahi kucheza mechi mbili mfululizo halafu amuweke bech SkellyLabda camp yake wametumia jina la Chelsea ili apushi maslahi yake hapo klabuni kwenu ni kama anachokifanya Sasa Enzo Fernandez anataka aongezewe mshahara ufike pound 200,000 so akawa anawatumia Madrid na bahati nzuri Madrid wakakanusha na Sasa anawatumia Man City na janja yake Chelsea wamestuka
Hivi unajua kwanini mpaka Leo Chelsea Wana Lavia pamoja na injury alizonazo na badala yake wakamuuza Santos? Romeo Lavia ni mchezaji mwenye quality kubwa sana na ndio maana club inapambana hasipate tena injury ni sawa useme tuuze Reece James eti kwasababu ya injury zake wakati tunajua akiwa fit tunapata quality ya maana tatizo lenu la mshabiki wa Arsenal hamuheshimu mpira mnaongozwa na mapenzi ulichofanya hapa umemkosea sana Lavia adabu kumfananisha na Skelly.Kabla hajazidi kua kituko na hii picha yake ni vyema akahama ligi. Huyo Lavia ni pancha sidhani kama kawahi kucheza mechi mbili mfululizo halafu amuweke bech Skelly
View attachment 3649737
Huyo kichwa chake huwa kinapga shoti, anaongeaga hovyo km amekatwa kichwa, wkt mareject yetu ndio yanaendaga kuwa 1st eleven kwao, sterling, kepa, havertz, maduekeHivi unajua kwanini mpaka Leo Chelsea Wana Lavia pamoja na injury alizonazo na badala yake wakamuuza Santos? Romeo Lavia ni mchezaji mwenye quality kubwa sana na ndio maana club inapambana hasipate tena injury ni sawa useme tuuze Reece James eti kwasababu ya injury zake wakati tunajua akiwa fit tunapata quality ya maana tatizo lenu la mshabiki wa Arsenal hamuheshimu mpira mnaongozwa na mapenzi ulichofanya hapa umemkosea sana Lavia adabu kumfananisha na Skelly.
πππHuyo kichwa chake huwa kinapga shoti, anaongeaga hovyo km amekatwa kichwa, wkt mareject yetu ndio yanaendaga kuwa 1st eleven kwao, sterling, kepa, havertz, madueke
Timu yenye EPL 14 unawaza ilikuaje Bingwa?Najua ni ngumu, lkn tetesi zilikuwepo.
Hawa jamaa Huwa nawaza imekuaje mpk wamekuwa mabingwa
Kwenye kikosi chenu mchezaji ambaye ukisema ana kiwango na ngumu kukataa ni Reece James.Hivi unajua kwanini mpaka Leo Chelsea Wana Lavia pamoja na injury alizonazo na badala yake wakamuuza Santos? Romeo Lavia ni mchezaji mwenye quality kubwa sana na ndio maana club inapambana hasipate tena injury ni sawa useme tuuze Reece James eti kwasababu ya injury zake wakati tunajua akiwa fit tunapata quality ya maana tatizo lenu la mshabiki wa Arsenal hamuheshimu mpira mnaongozwa na mapenzi ulichofanya hapa umemkosea sana Lavia adabu kumfananisha na Skelly.
Msukule mwingine huu hapaHuyo kichwa chake huwa kinapga shoti, anaongeaga hovyo km amekatwa kichwa, wkt mareject yetu ndio yanaendaga kuwa 1st eleven kwao, sterling, kepa, havertz, madueke