Wakuu, tumwamshe au tomwache aloeshe kitanda?Thoughts on Vinicius Jr to Arsenal wazee? mimi naona hapa 100℅ tutachukua UEFA na hasa kama Bruno Guimareas naye atasajiliwa, hapa PSG hatotusumbua tena, mpinzani atabaki mkongwe Real madrid
Epl tunapiga back to back, nasikia Rodri anataka kumkimbia Maresca!
We jamaa wewe.Wakuu, tumwamshe au tomwache aloeshe kitanda?
Vinicius mchezaji wa kawaida tu. Prime vinicius na prime Mane nachukua prime ManeThoughts on Vinicius Jr to Arsenal wazee? mimi naona hapa 100℅ tutachukua UEFA na hasa kama Bruno Guimareas naye atasajiliwa, hapa PSG hatotusumbua tena, mpinzani atabaki mkongwe Real madrid
Nampenda vini yupo explosive na skills, ila ana vitabia ambavyo haviwapendezi watu vya kuprovoke marefa, wachezaji na hata mashabiki.. Anaweza akadraw attention ambayo haihitajiki kwenye nyakati crucial tukashindwa kusecure points.Thoughts on Vinicius Jr to Arsenal wazee? mimi naona hapa 100℅ tutachukua UEFA na hasa kama Bruno Guimareas naye atasajiliwa, hapa PSG hatotusumbua tena, mpinzani atabaki mkongwe Real madrid
Sasa timu imenunua Rodgers halafu iongeze na Vinicius wa nini?EPL timu kubwa ambazo vini anaweza kwenda ni man city na man united tu, kdg na chelsea
Na hiyo bei sasa.Nampenda vini yupo explosive na skills, ila ana vitabia ambavyo haviwapendezi watu vya kuprovoke marefa, wachezaji na hata mashabiki.. Anaweza akadraw attention ambayo haihitajiki kwenye nyakati crucial tukashindwa kusecure points.
I won't say no akisajiliwa ila si expect sana hilo kutokea.
ViniNampenda vini yupo explosive na skills, ila ana vitabia ambavyo haviwapendezi watu vya kuprovoke marefa, wachezaji na hata mashabiki.. Anaweza akadraw attention ambayo haihitajiki kwenye nyakati crucial tukashindwa kusecure points.
I won't say no akisajiliwa ila si expect sana hilo kutokea.
Real Madrid wamemchukua Yan Diamonde, meaning Vinicius ajira yake ipo shakaniThoughts on Vinicius Jr to Arsenal wazee? mimi naona hapa 100℅ tutachukua UEFA na hasa kama Bruno Guimareas naye atasajiliwa, hapa PSG hatotusumbua tena, mpinzani atabaki mkongwe Real madrid
Hata bei yake, Arsensl hawezi kutoaSasa timu imenunua Rodgers halafu iongeze na Vinicius wa nini?
Vinicius alisababisha Alonso afukuzwe Madrid unadhani Alonso ana hamu na Vinicius?
Tabia ya vinicius ya unnecessary attention ni ngumu yeye kwenda Arsenal na wewe umejudge kutokana na hilo. Haujajudge juu ya financial muscle ya kumlipa zaidi ya 400K per week
Kuhusu bei sidhani kama ni tatizo.Hata bei yake, Arsensl hawezi kutoa
Kubadilisha fikra za watu ni ngumu aiseeee. Imagine huyu mu-Arsrenali Bado 2026 ana mawazo kama tupo 2010s. Nyumbuz je itakuwaje.Hata bei yake, Arsensl hawezi kutoa
Taarifa ya Ornstein inaonesha they have discussed him(vini jr) and approved him at all levels, na huu ni usajili wa The Kroenkes kuliko Arteta naamini, pia i believe lengo ni kuongeza thamani ya Club na utajiri wake kiujumlaHata bei yake, Arsensl hawezi kutoa
Mahasidi hawataki kukubaliana na huu ukweliTaarifa ya Ornstein inaonesha they have discussed him(vini jr) and approved him at all levels, na huu ni usajili wa The Kroenkes kuliko Arteta naamini, pia i believe lengo ni kuongeza thamani ya Club na utajiri wake kiujumla
Wakisajili wengine nyie mnasema sawa ikija Arsenal mnaanza kuuliza maswali..Mnatoa €90m kwa Bruno G ambaye ana almost 29yrs ?
Pia mna records za fitness zake ?
Kuhs kiwango akiwa fit hilo hakuna mwenye shaka nae. ....