Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Poleni sana mchezaji kachagua mabingwa wa dunia

Hoja yoyote nitayoandika hapa ni hoja niliandika wakati mnamchukua Mudryk, Zakaria, Santos na wengine. Arsenal ilionyesha interest kwa Rogers ikawa inataka kupeleka 50M, timu iliyotoka kuchukua ubingwa imeona Rogers ana thamani hiyo, timu iliyoshika nafasi ya kumi inatoa 117M.

Kubababake.
 
Kwani wewe unachangia kiasi gani mpaka ikuume? Market ndio iko hivyo Anderson kasajiliwa na Man City na 112 ukiachana na hivyo kwani tulitoa kiasi gani kwa Enzo Fernandez na Caicedo na kelele zilikuwa nyingi mwisho wa siku mkakaa kimya.Lazima ujue kijana ukitaka kumpata mchezaji mzuri kubali kuingia gharama
 
Mimi sichangii sikujua kama inanizuia kutoa maoni.

Kwakua wewe unachangia uwanja ni wako endelea kutoa maoni.
 
Mimi sichangii sikujua kama inanizuia kutoa maoni.

Kwakua wewe unachangia uwanja ni wako endelea kutoa maoni.
Pesa utoi wewe kwanini ikuume mchezaji kusajiliwa kwa pound 117M? Ingekuwa mchezaji ni mbaya kwa kweli hata sisi tungepiga kelele lakini mchezaji ni mzuri kwanini niumie club yangu kutoa mpunga mrefu
 
Kubali mpepigwa
Rodgers ni profile huwezi kuipata sehemu nyingine kirahisi rashi. Ni mashambuliajiw a soka la kisasa anayefit kwenye mifumo kama ya akina Xabi Alonso sio huyo expert wenu wa kona na kukumbatia wachezaji pinzani.
Ndani ya msimu mmoja tu Morgan Rodger hauziki hata ka mil 200
 
Morgan Rogers ana miaka 23 TU!
Ni nyota aliyethibitika kwenye Premier League, ana uzoefu mkubwa na kipaji cha hali ya juu, bado HAJAINGIA kwenye PRIME yake!
Yeye ni UNSTOPPABLE kabisa!
Kubalini tu mmepigwa
 
Xabi Alonois alishiriki kwenye mishemi ya siri ya kumsajili Morgan Rogas pamoja na Mmiliki maarufu kwa usajili wa akina Enzo na Caicedo, jemadari weti Behdad Eghbali ambao walienda sio kujadiliana kumsajili Morgan Rodgers bali ni kwenda kumteka.
Mmiliki mwenza wa Chelsea, Behdad Eghbali, alijadili mkataba huo moja kwa moja na mwenzake wa Aston Villa, Nassef Sawiris.
 
Ngoja msimu uanze. Akiwa vizuri nitasema kweli tumekosa jembe, akiwa shit nitakuepo hapa
 
Ila ww jamaa eti 50M vitu vingine tuache hujuaji wakati mlitaka kupeleka 100M hakuna mchezaji mzuri utampata kwa bei rahisi sasa mfano mzuri kwa Bruno kule bado ofa yenu ipo chini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…