Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwandishi wa BBC aliyekuwa anaripoti kwenye parade amesema hajawahi kuona parade kubwa na matata kama ya Arsenal popote na pale kwa mchezo wowote ule.

Kweli miaka 22 si mchezo.

Sasa tuombe Arsenal wafanye kuchukua makombe kiwe kitu cha kawaida ili shughuli za watu ziwe zinaendelea. Unaweza kuta sasa tumeshawapita Kenya kiuchumi kwa jinsi Nairobi ilivyosimama kwa siku kadhaa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli anakwambia usitegemee kubeba kombe la maana kama Uefa kwa huu mpira wa papatu papatu wanaocheza Arsenyashi, yaani timu haipati matokeo mpaka wamzongezonge kipa wakipata kona.
Inshort Masingeli hapendezwi kabisa na hii Haram football aliyokuja nayo Tetea Kiwigi.
Masingeli anadai hata hii PL mmebeba kwa bahati tu kutokana na form mbovu ya big 5 team's msimu huu.
 
Uchambuzi wa masingeli umetoa wapi mkuu?
 
Aah wapi. Hapo tumepata mshiko wa kutosha kumchukua Kvaratskhelia 😁😁😁.

Yaani tusingezingua jumamosi tukabeba kombe, hata sitaki kufikiria dunia ingekuwaje aisee.
Nadhani polisi wangeweka doria kwa ajili ya usalama wa raia wasio Gunners mkuu.
 
Misimu 3-4 mbele kutoka sasa ndugu zetu Arsenal akija kubeba na yeye Uefa mrudi tena umu kutoa povu msikimbie kama yule jamaa alikuwa anadhihaki usajili paundi M100 wa Declan Rice ni hasara....
Makocha Chelsea,Ureno na Atletco wamechkua vikombe Kwa staili chafu Haram football km arteta mnayesema, mfno kama Conte,Mourinho,Di Matteo,Tuchel na Kocha Fernando Santos Ureno ya CR7 wakiifunga France Euro2014 ni kupaki basi na kuvizia counter attack
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…