The Anfield
JF-Expert Member
- Dec 15, 2025
- 252
- 295
Acheni kupotosha watu, na inaonesha nyie sio wafuatiliaji wa kina wa Ligi Uingereza, ni wakurupukaji tu hamjui hamna data zozote watoto wa elfu10, Mimi ni Liverpool fan, lakini nikupe taarifa hii...Mmevunja rekodi nyingine ya kuchukua ubingwa ila hamjatoa mchezaji bora wa ligi sababu ya magoli ya kona wadau. Big Up
Mkuu labda una mapenzi binafsi....ila kwa muda alopata wa kucheza Martinelli mpk sasa....kiukweli kabisa kwa pale Arsenal uwezo wake umeishia pale....yaani hafundishiki zaidi....akienda ligi nyingine atang'aa ila sio EPL....aondoke aje Rodgers wasaidiane na trossard paleMartinelli bado ana kitu miguuni mwake abaki kwa msimu mmoja au miwili
Leo Ze Ganaz tunaenda kubeba kombe la pili la UEFA katika historia yetu.
Twende kazi. 🔥🔥🔥
Mkuu shangilia ubingwa kwanza haya Mambo mengine achana nayoAsee..
Kutaneni ili tukipiga bomu tuwapate vizuri.Mashabiki wa PSG tukutane hapa #hatewatch
1994 - UEFA Cup Winners Cup, Coppenhagen. Arsenal tulishinda 1-0 dhidi ya Parma ya Italia.Uefa ya kwanza mliichukua mwaka gani masta, tuweke records sawa !
Naona Gordon kaondoka shehe🤠🤠...tunamaliza leo UEFA kesho tutakuwa mlangoni kuja kumchukua Tonali....mbaki na yule mvunja matofali Bruno mzee wa vurugu....kale kakikundi pale St James Park ni ka kukavunjilia mbali muanze upya....Mkuu shangilia ubingwa kwanza haya Mambo mengine achana nayo
Hendry eeh, unajua nakuheshim, hicho kikombe unaona kinafanana na hichi?1994 - UEFA Cup Winners Cup, Coppenhagen. Arsenal tulishinda 1-0 dhidi ya Parma ya Italia.
Hili kombe lilikuwa linapambaniwa na timu zilishoshinda vikombe vya ndani vya ligi za Ulaya kama vile FA Cup ya England, Copa del Rey ya Spain, etc.
Mwaka 1999 hili kombe lilikuja kufutwa na kujumuishwa na shindano lingine, Europa League baada ya mfumo wa Champions League kubadilika na kuanza kuchukua timu za nafasi za juu, badala ya washindi wa vikombe vya ndani tu. Tukitaka 'kujimwambafy' saaana tunaweza kusema tuna ka Europa au ka pre-Europa kamoja.
Mwaka 1995 tulifika fainali katika kutetea ubingwa wetu ila tulipigwa 1-2 na Real Zaragoza ya Spain.
View attachment 3597505
Acheni kukaza mafuvu hayo, mhindi mwenyewe kawakataa vilaza nyie.Leo Tunabeba UEFA ya kwanza, nyumbu wote kimya
Alonso si ameshamalizana na Rent boys?Liver wamemfukuza kipara. Nitacheka wakimtaka Alonso na Alonso akikubali
Lolote linawezekana nyakati hiziAlonso si ameshamalizana na Rent boys?
Kichwa mviringo never saw this coming, he was so boastfulLiver wamemfukuza kipara. Nitacheka wakimtaka Alonso na Alonso akikubali