Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani nilitaka nishangae nisikuone hapa Nkamu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Gundu la miaka 22 mmelitoa

Naomba location Nkamu
Mapema tu kesho๐Ÿฅฐ
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Nimeteseka sana acha nifurahi..!!
Weeh usije ukaitia mchanga cake mana liverkuku hamjapenda kabisaaa..!!
 
Wapi? ๐Ÿ˜น
Isiwe ghetto tu!!
Feza school fees imepanda sitaki majukumu..!! ๐Ÿคฃ
Why gettoo.. utaichukulia clock tower pale jua likitupiga..

Nimeghairi tuma location ama bolt wako aje kuibeba, isije tokea mjuba kakukamatia huko kesi jumba bovu nikaangushiwa mimi
 
Why gettoo.. utaichukulia clock tower pale jua likitupiga..

Nimeghairi tuma location ama bolt wako aje kuibeba, isije tokea mjuba kakukamatia huko kesi jumba bovu nikaangushiwa mimi
Wewe mjuba wa kutoka wapi tena? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ukisema hivyo mtu kanikamatia sipendi, yaani mimi ni yule mwali kigego km Arsenal sijali watu wanasema nini nafocus tu!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Wewe sema uko wapi nitume mtu afate..!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ