Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jana huwezi kuamini nimeota Arsenal kuchukua UEFA Wazee, for the first time, ngoja tuone.

Na tukichukua hili we're going to win it back to back, I believe next season tutakuwa na finance ya kutosha kuziba Magap with the very best players
 
Ni kweli mkuu ila upepo hauonekani kuwa uapnde wao.
Ingawa huwa nikilisema hili Castr ananipinga kwa nguvu tena na ushaidi kabisa, hata kama mtabeba ndoo zote 2 msimu huu arsenal ya msimu juzi ndio ilikuwa arsenal bora zaidi chini ya arteta.
Team bora ni ile inayobeba mataji mbele ya wapinzani wake na sio vinginevyo.
 
Pep kabakisha kombe moja tu kwa ligi ya ndani 😀😀😀 na lazima alibebe ni suala la muda tu
 
Kanjibai anamkataa burnley lakin kuna mjinga mmoja anakuambia naiona nafasi ya kipara pale juu
 
Kwa hizi mechi chache ambazo Skelly kakaa mid naamini Ili uuone ubora wa Odegaard ilibidi awepo Skelly.

Ila ngoja tuone Arteta na benchi walichoona kwamba kitakua ni deal poa kupanga mid kua hivi na kucheza 4 3 3
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…