Castr kama Castr. Kwamba wapenda soka wengi wako against arsenal ama?Misimu yote hua mashabiki wa hizi ligi tano wanatambiana juu ya ubora wa ligi wanazoshabikia.
Na kipimo hua timu kutoka ligi husika zimefika wapi kwenye mashindano ya Ulaya.
Msimu huu haujasikia haya makelele.
CL - Arsenal yupo fainali
Europa - Aston Villa au Nottingham moja itaenda fainali
Conference - Crystal Palace inaenda fainali
Kwanini hausikii hizi kelele? Kwa sababu wakitamba kwamba EPL ni ligi bora imepeleka timu tatu fainali mashindano ya Ulaya itapingana na ule uongo wa kudai ligi ya EPL ni dhaifu msimu huu 😅😅😅
At the same time, kwanini hausikii tena kwamba ligi ni mbovu? Kwasababu City alivyotushika kialama wakasema sasa ligi ndiyo imekua bora.
Now hawawezi claim ligi mbovu kwakua City alivyotushika kialama wakadai ligi bora. Hawawezi sema ligi bora kwakua sasa Arsenal ipo pale juu.
It's funny dealing with fools
Scary, jamaa hawapi hata matumaini hewa hawa kenge waliootea fainali💙👀 Luis Enrique: “You remember what I said during the group stage? No team is better than us. I repeat that. We believe in this team”.
At least furahia kufika fainali mkuuBado kidogo, arsenal siiamini mpaka tushinde kombe, arteta haeleweki huyu nyama
Wewe unafikiria nini?Castr kama Castr. Kwamba wapenda soka wengi wako against arsenal ama?
Castr kama Castr. Kwamba wapenda soka wengi wako against arsenal ama?
Hata haujafika mbali ushajijibu swali lakoScary, jamaa hawapi hata matumaini hewa hawa kenge waliootea fainali
Hawa tunawasubiri kwa wivu mkubwa sana wanyoleweScary, jamaa hawapi hata matumaini hewa hawa kenge waliootea fainali
Kabla ya mechi za pili za UCL, Kuna stats zilikuwa zinaonyesha kwa msimu huu Calafiori played more minutes kuliko Dembele na ndugu zake.Luis Enrique ili kufika fainali ya CL alikua akiomba mechi zake za ligi kuahirishwa ili wachezaje wake wasichoke akija CL.
Pep aliomba mechi ziahirishwe kwaajili ya FA. Akaomba wachezaji aliosajili January wacheze fainali ya Carabao.
Arteta went through hell bila kuomba mechi kUahirishwa.
Kisha kocha mmoja anakuambia "We are the best" kenge kabisa
Kwema sheikh wangu, sijui nyinyi huko.Vip huko maalimu kwema
Dembele kaanza games hazizidi kumi msimu huu.Kabla ya mechi za pili za UCL, Kuna stats zilikuwa zinaonyesha kwa msimu huu Calafiori played more minutes kuliko Dembele na ndugu zake.
Pamoja na tripu shamba tripu gereji zote za msimu huuu.
Hatufurahii mimba, tunaombea mtoto kabisaAt least furahia kufika fainali mkuu
unaposema hatupo bora unatufananisha na nani au na kitu ghani ?Siongei kishabiki, ukitizama vizuri utagundua tu sisi hatuko bora, huyu man city anaetufukuza angekuwa bora kidogo tu angetukamata, imefika hatua tunaombea apoteze ili tuwe na uhakika..
Arsenalunaposema hatupo bora unatufananisha na nani au na kitu ghani ?
Vip mna Hali gan huko ndgu zetu Newcastle unitedKwema sheikh wangu, sijui nyinyi huko.