makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,450
- 108,531
Uzuri mie nawe tupo humu miaka dahari wa dahari.. partey mie nilimuelewa siku ya kwanza tu, kuna vita hapa ilikuwepo na will jr, akimkataa partey mimi nikisema partey ni fundi,Zubimendi huu msimu wake wa kwanza. Mkumbuke Partey msimu wa kwanza alikuaje.
Gyokeres na ugumu wa mfumo ana jumla ya magoli 21. ST wengine wana hali gani?
Odegaard amekua hovyo. Saka kawa hovyo. Utetezi utakua kwamba wametoka majeruhi
Yeah, ajifunze tu, kila kitu kinawezekana, na kinaanzia mazoeziniSahihi .... kuna namna unaona kabisa pengo la Partey lipo .....! Pengine next season, Zubi anaweza kubadilika !!!
kivipi mkuu?Arsenal ngumu sana.
Kuna watu wanaona hakuna kitu kizuri kizuri kinafanywa na hii timukivipi mkuu?
MPira mchezo wa wazi kabisa, sote tunaona jinsi wachezaji wanazingua, we huoni pengo la partey? Huoni kiwango kibovu cha saka? Huoni odegard, huoni gyokeres anavyoteseka kwa kukosa kupewa pasi stahiki, huoni raya anavyotustili, huoni white kiwango kimeshuka kwa kuwekwa sana benchi, huoni ubovu wa martinelli kwenye kushambulia?Hakuna jema
Sasa tunafanyaje na msimu uko mwishoni?!MPira mchezo wa wazi kabisa, sote tunaona jinsi wachezaji wanazingua, we huoni pengo la partey? Huoni kiwango kibovu cha saka? Huoni odegard, huoni gyokeres anavyoteseka kwa kukosa kupewa pasi stahiki, huoni raya anavyotustili, huoni white kiwango kimeshuka kwa kuwekwa sana benchi, huoni ubovu wa martinelli kwenye kushambulia?
Ndio wamalizie sasaSasa tunafanyaje na msimu uko mwishoni?!
Maisha yaendelee kwakweli. Kama haya unayoyasema wenye timu hawayaoni au hawajali basi matako yao.Ndio wamalizie sasa
😂🤣Maisha yaendelee kwakweli. Kama haya unayoyasema wenye timu hawayaoni au hawajali basi matako yao.
Uko sahihi sana😂🤣
Kutokana na vitu hivi ndio maana siku hizi sina mapenzi yale ya kuumiza moyo eti arsenal kafungwa naona tabu hapana, haiwezekani kocha aweke kepa golini mie namtaka raya kisha timu ifungwe mie niumie 😂🤣
Kwa kumbukumbu zangu ni Will Jr ndiye alikua anasema Partey ni mbovu. Mimi badi nina imani na Zubimendi mchezaji ambaye ametakwa na timu zaidi ya nne sidhani kama ni kiazi kiasi hicho.Uzuri mie nawe tupo humu miaka dahari wa dahari.. partey mie nilimuelewa siku ya kwanza tu, kuna vita hapa ilikuwepo na will jr, akimkataa partey mimi nikisema partey ni fundi,
shida sio zubi kuwa msimu wa kwanza shida ni aina yake la soka, asipobadilika atakuwa hana jipya. Mazoezi ajifunze baadhi ya vitu, ili aongeze ubora, haiwezekani mido inapiga back pass nyingi, side passes za kutosha, afanye mazoezi ya utulivu akiwa na mali na kupiga pasi za mbele, kiungo hutakiwi kuogopa mpira utafikiri mi moto,
saka na martinelli nilwagomea wakiwa kwenye peak yao, msimu ule wanafanya vizuri, nikasema ni wachezaji wa kawaida muda utatuambia, saka ana kaubora kidogo kuzidi martinelli ila ndio wale wale.
Odegard tayari ufaza ushamuingia, anajiona legend tayari, wakati alitakiwa kuongeza juhudi, siku hizi karelax mnooo.
Mmeanza mbwembwe zenu sasaTupe maoni yako mkuu baada ya mtanange kuisha🤠🤠....tunaanua mkeka tunaenda nao j4 mapema kabisa....tunakwenda fainali...na tutaomba sana PSG wapite ili tukutane nao watuelezee mwaka jana walitutoatoa vipi🤠🤠
And not about trophies, I agree kakaMtoto wa Hale end, Myles lewis skelly, amekuzwa kwenye basics za total voetbal by papa Arsene Wenger, yani dogo ameanza leo na tumeona mpira wa Arsene Wenger tulioumiss muda mrefu, liquid and attacking football, the things we love the most, hivi ndio vitu vilivyofanya tukaipenda Arsenal, Arsenal is about sexy football.
alimuacha nje kwasababu ya game ya uefaJe mwalimu alimuacha zubi kisa game ya uefa ama kuna kitu kakiona?
inawezekana zubimendi sio premier league material natamani msimu ujao aje kivingine atuprove wrong.Bado ajifunze baadhi ya vitu,Zile faulo zake za hovyo ajidhibiti lakini kunwa zaidi ukiwa middle bila scanning ni shida sana, kila wakati ni mwemdo wa 360° ni wachezaji wachache sana ndio wanafanya hii kitu na lazima awe bora eneo hilo..
Ila sio mbaya bora yeye kuliko kiazi zubi, ye ni kukaba tu, ila kucheza mpira unavyokuja ndio unavyorudi kama TRENI.
Apewe video za partey yule zubi ajifunze, aangalie hata legends waliocheza postion yake aboreshe kiwango
wanaosema Gyokeres ni mbovu mm mwenyewe huwa nashangaa sana, striker msimu wa kwanza tu anaweka kamba 20+Twende polepole hapa.
Newcastle imetoa 55M kwaajili ya Wissa. Mpaka leo Wissa ana magoli 2 mashindano yote.
Newcastle pia ikatoa 70M kwaajili ya Woltermade. Mpaka leo Woltermade ana magoli 8 mashindano yote.
United imetoa 71M kwaajili ya Mbeumo. Mpaka sasa Mbeumo ana magoli 9.
United pia ikatoa 74M kwaajili ya Sesko. Mpaka sasa Sesko ana magoli 11.
Liverpool ikatoa 79M kwaajili ya Hugo. Mpaka sasa Hugo ana magoli 17.
Liverpool pia ikatoa 130M kwaajili ya Isak. Mpaka sasa Isak ana magoli 3.
Arsenal imelipa 65M kwaajili ya Gyokeres. Mpaka sasa Gyokeres ana magoli 21.
Kwanini shabiki wa Arsenal haoni kwamba ana ST mzuri hii sina sababu. Gyokeres angekua na magoli 3 au 9 nyimbo zingekua nyingi, Gyokeres ana magoli mengi zaidi ila mashabiki wa Arsenal hawaongelei hili swala.
Bado wanaamini Gyokeres ni mbovu.