Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata tukiukosa ubingwa msimu huu Arteta haendi popote.
Basi nina imani huu msimu tutatwaa taji
Kwamba arsenal itashinda mechi zote zilizobaki? Aisee tuweni serious. Hapa hamna kocha, huwezi sajili Madueke na Havertz ambao ni Chelsea rejects na utegemee mafanikio. Ujuaji ulimponza, wenzake wameongeza wachezaji January yeye anatoa kwa mikopo!!

Arteta ni failure
 
Kuna ile aura na series ya matukio favourable yanaikuta timu iliyo kwenye form hapa ndiyo hata pasi inaonekana inatoka nje unashangaa kuna mchezaji wao mpira unamfuata.

Nyinyi mkipiga pasi mnampa mpinzani.

Ukitaka kuona vizuri kabisa hii inawezekana vipi ikumbuke game ya Chelsea vs Arsenal tuliyowafunga tano halafu kuna goli White alifunga likasababisha mtangazaji asema "Arsenal are so good they score by mistake"

Sasa City ndiyo ipo hapo sasa hivi. Yaani ni timu inacheza ipo sure inashinda. Burnley anakosa na ukicheki ni aura inatishia.
 

Summer Arteta anavuta Garnacho another chelsea reject.
 
Energy drinks, trauma, short on target standard and now aura πŸ˜„
Mtaongea yote ila sisi tuna neno Moja juu yenu ARSENAL HATABEBA UBINGWA AS USUAL.
Arsenal nimekubali ni wazee wa standard wamekaa nafasi ya Kwanza kwa siku 200+ na Bado watakosa ubingwa . False hopes for 200+days .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…