Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,301
kweli kiongozi, Ramsey inabidi awe anasugua benchi, kama leo amekosa goli la wazi., its time for benayoun na rosicky kumsugulisha tukiwa tunasubiri WILSHERE mwenye namba yake arudi.
Mie man of the match yangu leo kaichukua Koscienly.
Ramsey na Gervino wanapata nafasi nyingi za kuscore lakini wanaziwaste.
Winger zetu lege lege (Walcott n Gervinho) zinatuangusha sana. Mechi ikiwa na misuo suko kidogo tu wanakata tamaa na kuanza kukimbia kimbia hovyo.
Tuna bahati mbaya sana kuwa na wachezaji lege lege au naweza kusema sio bahati mbaya bali ndio chagua la AW. Ligi ya uingereza kuwa na wachezaji wenye nguvu na akili ya mpira inasaidia sana.
Song ndo muhimili wa Arsenal...
Mwacheni Theo ni kifaa tosha pamoja na Gervinho, kuna siku mpira hukataa kutokana na formation ambayo prof anapenda wachezaji wacheze. Kumbukeni kwamba wingers huwa wanashamiri wakati full backs wanawasaidia kutoka nyuma hivi sasa kule nyuma both sides wazoefu wameumia, Sagna pamoja na Gibbs. Ramsey ni mzuri lakini sio kama Cesc hata Arteta naye hajaweza kumudu vizuri pale katikati. Kumbukeni kwamba Song hakuwepo hivyo tulikuwa na pengo kubwa sana ..... ..... ..... hivi sasa yeye ndiye mwenye pasi za uhakika hasa kwa RVP last two matches mnaweza kukumbuka jinsi alivyokuwa anashirikiana na RVP. Song is back next match.
Vijana wapo vizuri sana majeruhi yakiisha atakaporejea hususan Jack ndio mtaona kwa nini prof alikubali Cesc kuondoka, kijana ni moto wa kuotea mbali. Mechi ya jana tumeshinda na leo tumezidi kuwasogelea wapinzani wetu .... .... mwisho wa mwezi ndio tutakuwa half time. Ngwe ya pili mtaona jinsi EPL itakavyobadilika, we are there to win it!
Kuna makocha tena wengine wa PL wanatuhumu wenger anaua mpira wa england.. Kisa wachezaji. Bado hujaenda kwenye magazeti.
Tukienda kwenye msimamo wa ligi na liverpool na newcastle wamecheza leo
[TABLE="class: football"]
[TR]
[TH="class: hidden col2"][/TH]
[TH="class: col3"][/TH]
[TH="class: col4"]Pl
[/TH]
[TH="class: col5"]W
[/TH]
[TH="class: col6"]D
[/TH]
[TH="class: col7"]L
[/TH]
[TH="class: col8"]+/-
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]1
[/TD]
[TH]Manchester City
[/TH]
[TD]17
[/TD]
[TD]14
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]38
[/TD]
[TD]44
[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: col1"]2
[/TD]
[TH]Manchester United
[/TH]
[TD]17
[/TD]
[TD]13
[/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]28
[/TD]
[TD]42
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]3
[/TD]
[TH]Tottenham Hotspur
[/TH]
[TD]15
[/TD]
[TD]11
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]13
[/TD]
[TD]34
[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: col1"]4
[/TD]
[TH]Chelsea
[/TH]
[TD]16
[/TD]
[TD]10
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]4
[/TD]
[TD]15
[/TD]
[TD]32
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]5
[/TD]
[TH]Arsenal
[/TH]
[TD]17
[/TD]
[TD]10
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[TD]8
[/TD]
[TD]32
[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: col1"]6
[/TD]
[TH]Liverpool
[/TH]
[TD]17
[/TD]
[TD]8
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]7
[/TD]
[TD]30
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]7
[/TD]
[TH]Newcastle United
[/TH]
[TD]17
[/TD]
[TD]7
[/TD]
[TD]6
[/TD]
[TD]4
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]27
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The Arsenal manager is short of defensive options on the flanks with Bacary Sagna, Carl Jenkinson, Kieran Gibbs and Andre Santos all nursing injuries.
Nawatakia kila la kheri wote na familia zenu kwenye kusheherekea sikukuu ya krismasi na mwaka mpya. Mungu awalinde na awatimizie maombi yenu.
Ujumbe uende kwa wote wakuu wenzangu wa gunners na mashabiki wa timu zingine.
Tuko pamoja.
Nawatakia kila la kheri wote na familia zenu kwenye kusheherekea sikukuu ya krismasi na mwaka mpya. Mungu awalinde na awatimizie maombi yenu.
Ujumbe uende kwa wote wakuu wenzangu wa gunners na mashabiki wa timu zingine.
Tuko pamoja.
Akhsante sana mkuu,nasi tunakutakieni ninyi mansix wote X-mas njema na mwaka mpya wenye fanaka!....DIMBANI MAADUI,NJE YA DIMBA MARAFIKI!Niwatakie xmas njema na heri ya mwaka mpya watani wenzangu wa Asenane, najua bila nyinyi JF Sports forum ingedoda sana.
Blesses!
I would've loved to have Henry back home where HE belongs. Come home Henry, come home and be with your fellow gunnersHope Mzee wenger atamsajili Legendary Henry on loan kama present yetu! Afc4life.