Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ngoja tuone leo maana City kombe kashalinusa na game ya leo itaonesha muelekeo wa bingwa.
 
Wanetu anayebana pumbu abane. Kama umepiga binti ana gundu siku tatu nyuma hii game usiangalie.

Namuangalia AM wa City halafu namuangalia AM wetu najikuta nasizi. AM wetu anazunguka uwanja mzima lakini ni anautafuta mpira ili arudi nyuma.

So wings zimekaliwa katika nama ya kurely kwenye crosses, Eze RW na Madueke LW lakini kwa miguu yao dominant hii ni risk ama la basi hapa tunacheza 4 4 2. Trossard na Martinelli nje labda wanasubiri miguu ichoke. Kama ndoto ipo sawa hapa tutarajie red.

TUkapambane wanetu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…