Data Data Data.
Kila muda wanapotaka kutupaka matope, basi data huwa zinakuja kuwaumbua wenyewe baadae.
Last year, wakati IFAB wana-introduce ile sheria ya refa kuwapa timu pinzani kona kams kipa ata-hold mpira more than eight seconds, sky sports and co wakatumia picha ya Raya kwenye mitandao kutaka kulionyesha hili.
Opta walivyokuja na data, Raya was not even on top five katika makipa wanaokaa na mipira sana
Data zikawaumbua.