Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umeandika pumba tupu tu.
Hivi nikuulize wakati Arsenal inawaondoa kwenye carabao cup katika semi fanali hakuwa mmeona kombe mbele yenu?

Na pia mliwezaje kupoteza dhidi ya Manchester United kwenye fainali ya UCL mwaka 2008, ina maana hamkuwa mmeona Hilo kombe mbele yenu?

We jamaa unachekesha Sana 😅
 
Ukiwa timu ndogo lazima unyanyaswe kubababake.
Villa sasa wataanza safari ya kwenda Europa
 
Leo mkijitahidi ni draw......

Sema mna advantage moja tu, Chelsea beki yako hakuna kitu, na forward yenu ni butu ..tia maji tia maji

Wacha tuone.....mparuane tu hakuna namna
 
Kikosi chetu hakijabadilika.

Ni kilekile kilichocheza na Spurs.

Eze bado ni AM.

Hincapie bado ni LB.

Hatujafunga magoli ya kona muda mkubwa umepita nafikiri leo ni siku sahihi kuanza tena.
 
Hatar katk lango la asenal gooooo hatimahe chelse wanajipatia bao la pili sizan kama watarudisha
 
Kikosi chetu hakijabadilika.

Ni kilekile kilichocheza na Spurs.

Eze bado ni AM.

Hincapie bado ni LB.

Hatujafunga magoli ya kona muda mkubwa umepita nafikiri leo ni siku sahihi kuanza tena.
Hehehe
 
Huyu Eze ana shida gani anashindwa kuunganisha mipira?
 
Dadeki arsenal bhana
Watu washajifia hawa kina eze wanakenunua2 tu ndani umo...piga goli
 
Kumbe hua mnacheat kwenye kona zenu ndo mana mnafunga, mpira haukai kwenye mstari matapeli Nyie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…