Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiv hii interview ni ya kweli ?Hazard , John Terry na Ivanovic wanaulizwa club gani kubwa duniani. Terry akajibu Barcelona or Real madrid.
Ivanovic akasema ARSENAL , Terry na Harzad wakaanguka kicheko kikali sanaa.
Ya zamani sana hiyo
 
Na Saka kaongeza mkataba miaka5 na mshahara mnono Kuliko wachezaji wote ndani Arsenal na huenda kuwa ht top5 ya top earners kny Epl, Haaland na Salah ndo wanaongoza saivi.
Lakini hizo takwimu zake za msimu huu za Epl Mmmh!! hata kama tutasingizia Majeruhi, yaani goli 5 assist 3, ngoja tuone baada mechi hii Wolves kwenda March, April mpk mwisho msimu May ataleta mchango Gani na consistency au lah!! Maana Saka alikaa zaidi mechi 10 Epl hajafunga goli mpk kuja kufunga dhidi Wolves J5 hapo.
 
Mie huyu saka na martinelli nishawqkqtqq toka msimu uke wana moto.. ukweli mchungu ni average players, saka ni wa everton huko, spurs kidogo, Aston villa na wenginewe..
Unapotaka makombe unahitaji wachezaji bira wengi.. ni raya, timber, saliba, gabriel, kidoogo na rice(huyu naweza safiri nae) waliobaki kwa kweli ni ngumu kusafiri nao
 
"Tatizo si Arteta, si wamiliki, si wachezaji, ni mashabiki wa Arsenal. Mnadanganyika."
- Patrice Evra

 
Hii ni timu kubwa sana.

Matatizo yaliyojitokeza dhidi ya Brentford yamejitokeza dhidi ya Wolves.

Cheki mechi dhidi ya Wigan. Dakika ya 28 mnaongoza nne ila mnashindwa ongeza chochote kwa dakika 62. Haikua dalili nzuri na nikaisema.

Kocha anakubali makosa. Lakini haitakua mara ya kwanza. Hata game na Brentford alikubali makosa pia.

Wachezaji walibadili attitude? No.

What's funny? Brentford na Wolves hawakupaki basi. Wamefunguka. Zamani ilikua timu zinapaki basi, zinatusumbua. Ila kwa hawa walicheza.

How did the team respond? Media campaigns na interviews non stop to try and recapture the hearts of the fans.

Opponent wa karibu kabisa kwa sasa ana mchezo mkononi. Kama tungefanya kazi yetu ipasavyo that wouldn't matter
 
Endelea kugawa energy drinks, bado anapumua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…