🤣🤣🤣 Nakuhakikishia kabla ya kukutana na City, Man City atakua tayari amewapita kwa points 4 akiwafunga anawaacha kwa points 7.Na shida tuna game nae kwao, hii game inaweza kuamua bingwa
😅😅😅😅Acha tuone mpira unamaajab yake pia mkuu. Tunaweza kutafuna hiyo mifupa migumu ukashangaa🤣🤣🤣 Nakuhakikishia kabla ya kukutana na City, Man City atakua tayari amewapita kwa points 4 akiwafunga anawaacha kwa points 7.
Fabregas ni mzuri zaidi ya Arteta!! tunahitaji kocha "katili" kama Simeone hivi mwenye mentality ngumu sio huyu ambaye akiwa under pressure anapanic.Arteta akivumiliwa na mwaka huu tutashangaa ila shida pia makocha wazuri nao sokoni ni mtihani si unaona Man u na Chelsea wanavyohaha kufukuza na kuleta makocha wapya. Arteta ni anavumiliwa sababu ndo kwanza anaanza kuinoa timu ya kwanza akiwa kama kocha mkuu na anaonesha kitu kwamba huko mbeleni atakuwa tishio acha aendelee kujifunzia Arsenal ili baadae akikomaa Barca au Madrid wamchukue😄😄
Ni kweli EPL inahitaji mbinu zaidi maana timu zinapambana mno. Fabregas mzuri kwa ligi yake pia kule ngoja aletwe nae tutampima EPL. Diego Simeone( Cholo) hata wachezaji wake anawachagua wagumuwagumu kulingana na mfumo wake. Yuko kama Morihno tu linapokuja swala la mentality, kama mlegevulegevu kama Eze utakula bench na anaweza kukuuza kabisa sabb mfumo wake unataka kupambana mno ndo maana Morinho akiicha timu basi wachezaji wengi wanakuwa wamechoka, wanatumika sana.Fabregas ni mzuri zaidi ya Arteta!! tunahitaji kocha "katili" kama Simeone hivi mwenye mentality ngumu sio huyu ambaye akiwa under pressure anapanic.
Ubingwa ushaamuliwa kitambo toka cunha apige lile bao na ile dance nikaona kabisa shughuli imeiishaa.Na shida tuna game nae kwao, hii game inaweza kuamua bingwa
Hatari sana. Game ya Liverpool nayo iliumiza ingawa Liver si timu yangu kiukweli yaan kashindwa kuzuia sare kwake na mchezo aliushika kwelikweli.Ubingwa ushaamuliwa kitambo toka cunha apige lile bao na ile dance nikaona kabisa shughuli imeiishaa.
Game zilizobaki sasa ndo hutakaa umuone man city anapoteza , game ya liverpool uliona mtu katoka one behind na akashinda zikiwa zimebaki dk15 tu.
False hopers hakuna mnachokijua hata jana nadhani kati ya nyie na brentford aliyekuwa anataka points 3 zaidi ni brentford kushinda hata nyie.
Hapo arsenal ndo anamkimbiza man city mpaka sasa na si man city . Fuatilia team yoyote ikiwa kwenye mbio za ubingwa na arsenal lazima iwe bingwa hata kama ni wigan unakumbuka ya leicester city, chelsea 2005Jürgen Klopp kuhusu mbio za ubingwa wa Premier League baada ya Arsenal kupoteza pointi dhidi ya Brentford:
🗣️ “Kuwa na Manchester City nyuma yako ni kama kufukuzwa na mbwa mkali.
Arsenal fungu la kukosa mkuu , kuelekea hii march ndo utajua kwanini tunawaita false hopers!Hatari sana. Game ya Liverpool nayo iliumiza ingawa Liver si timu yangu kiukweli yaan kashindwa kuzuia sare kwake na mchezo aliushika kwelikweli.
Hii City unayoshindaga ukiimba kila siku ni ya kawaida Sana bro, Don't think they'll win all their remaining gamesUbingwa ushaamuliwa kitambo toka cunha apige lile bao na ile dance nikaona kabisa shughuli imeiishaa.
Game zilizobaki sasa ndo hutakaa umuone man city anapoteza , game ya liverpool uliona mtu katoka one behind na akashinda zikiwa zimebaki dk15 tu.
False hopers hakuna mnachokijua hata jana nadhani kati ya nyie na brentford aliyekuwa anataka points 3 zaidi ni brentford kushinda hata nyie.
No sio peke yake, nakukatalia ht Kwa facts/statistics, wachezaji Hawa pia Kwa msimu huu wanaipambania timu to the maximum ni basi tu:-arsenal ukimtoa declan ,wengine waliobaki wanacheza kitoto mno.. no desire to win a match ,no fighting spirit and no maturity level kama aliyokuwa nayo mwamba.
Hii City unayoshindaga ukiimba kila siku ni ya kawaida Sana bro, Don't think they'll win all their remaining games
😂😂😂Vumilia 😂
Arsenal huu msimu Epl lazima tubebe
Ni kweli mkuu kwa sasa kuna uhaba sana wa makocha wazuri. Arteta hadi sasa kwa ligi alipoanzia sio mbaya ni mzuriArteta akivumiliwa na mwaka huu tutashangaa ila shida pia makocha wazuri nao sokoni ni mtihani si unaona Man u na Chelsea wanavyohaha kufukuza na kuleta makocha wapya. Arteta ni anavumiliwa sababu ndo kwanza anaanza kuinoa timu ya kwanza akiwa kama kocha mkuu na anaonesha kitu kwamba huko mbeleni atakuwa tishio acha aendelee kujifunzia Arsenal ili baadae akikomaa Barca au Madrid wamchukue😄😄