Chelsea walicheza na sisi wakawa wanacheza mpira direct ambao hautaki stori ni kuflick mpira aupate mwenzake na kupambana waendw mbele.
Nikanotice pia wakawa hawataki kushindana possession, wanakuachia mpira kisha wanasubiri uteleze.
Formation ya leo ni baba la wapenda huo mchezo. Mid imekaliwa na watu 5 forward ina watu 2 rely on long balls, counter na transition.
Na kwakua ni fair kucheza na Arsenal kwa kupaki basi naona hii ni set up fair kwao.
Let's see jinsi gani Arsenal itajaribu kudismantle beliefs