Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe endelea kubwabwaja wakati Saka anaelekea kubeba taji
 
Muda huuu (13:00), Fabby na Ornstein, wametulia tuuu wakicheki adrenaline rush kwa mashabiki wa Arsenal
David Ornstein, saa 20:00: Sandro Tonali offered to Arsenal by agent so #AFC explored but no contact with Newcastle United; nothing will happen this window. 25yo’s camp put idea to Andrea Berta so looked into as per any player of interest. #NUFC exit now impossible
 
Chelsea wananikumbusha ukiwa unacheza drafti halafu mtu anakufunga moja bila kwenye michezo 3 au 2 kwa 1 unakua unahisi kwamba ni ulikosea padogo tu ndiyo sababu unafungwa.

So unajipa moyo kwamba safari hii nafia arena.

Tatizo ni kwamba haufungwi kwa bahati mbaya unafungwa kwakua watu wana patterns, plan na executions. Kwakua unakua umezibwa na ego unakua hauoni gaps zako, unakua unaona potential ya gaps za mpinzani.

Hilo kosa walifanya Madrid, wakalifanya Bayern na sisi tumelifanya kwa second leg ya Manchester United.

Shabiki mmoja wa Arsenal anasema kama tungeshinda 3 - 1 Chelsea wasingekua na hii imani. Shabiki mwingine akamuambia tatizo la mashabiki wachache wa Arsenal ni kutokua na imani. Chelsea anahitaji ashinde, Arsenal anahitaji kushinda?

Na hata kama ni kweli unaamini Arsenal ataenda kutafuta suluhu?

Nafikiri namna tumefika pale ndiyo changamoto, late goal dhidi ya Palace kisha late equalizer na Kepa akatubeba kwenye matuta. So mashabiki na wapinzani wote hawaamini.

Observe
 
Hii mechi Chelsea anakufa 3-1
 
Garnacho anasema ni kweli Emirates pagumu ila kama Man United kaenda kachukua points zake kwanini wao washindwe?
 
Bukayo Saka atakosa mechi zifuatazo kutokana na jeraha

Chelsea
Sunderland
Brentford
Wigan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…