Kai si karudi?Kutoka Instagram,
Mikel Merino: "Time to stop now with a foot injury. Sometimes life throws this kind of challenges when is less convenient. Just another opportunity to be strong, resilient and overcome it. We have the best medical team and together we wil come back stronger.
Thank you all, your support means everything to me and I can't wait to be back on the pitch soon, helping my team and doing what I love..."
Mjuba atakua nje kwa ma-week kadhaa. Wakati huo, Ethan yupo on loan. Baadhi ya pages za wadau wa Arsenal mitandaoni, zina-report Arsenal kuingia sokoni leo, deadline day.
Upande wa maoni mitandaoni, MLS kurudi kati ndo yametamalaki zaidi kule X.
Miaka 70 mkuu, kabla ya msimu jana mara ya mwisho Nyukesto kushinda taji ilikuwa 1955Newcastle walikaa zaidi miaka 50 ndo msimu Jana 2025 wamechukua major trophy moja, Carabao cup
We will miss him dearly but he will come back strongKutoka Instagram,
Mikel Merino: "Time to stop now with a foot injury. Sometimes life throws this kind of challenges when is less convenient. Just another opportunity to be strong, resilient and overcome it. We have the best medical team and together we wil come back stronger.
Thank you all, your support means everything to me and I can't wait to be back on the pitch soon, helping my team and doing what I love..."
Mjuba atakua nje kwa ma-week kadhaa. Wakati huo, Ethan yupo on loan. Baadhi ya pages za wadau wa Arsenal mitandaoni, zina-report Arsenal kuingia sokoni leo, deadline day.
Upande wa maoni mitandaoni, MLS kurudi kati ndo yametamalaki zaidi kule X.
Akija huyo jamaa hii mid itakua ya moto balaa
Unfortunately, ni tetesi kama tetesi nyingineAkija huyo jamaa hii mid itakua ya moto balaa
Baada ya kushiba ugali umeona uje humu kuandika hizi pumba zakoNasema hivii mkichukua EPL, niitwe Jibwa koko. kimahesabu mna asilimia nyingi sana za kutoka patupu.
Wewe endelea kubwabwaja wakati Saka anaelekea kubeba tajiTuliambiwa Saka ni WC
Ana G/A ngapi mpaka sasa tumeshavuka nusu msimu? Huyu mmakonde ni hype tu.... hawezi kukupa 20G/A per season......
Yeye na captain wake ode ni matapeli hapo Arse8.. . Mpaka mje mgundue too late ...
Word cup inakuja, atakuwa bench warmer...tuchel hana masikhara