Arsenal (The Gunners) | Special Thread

aah.. spurs wanacheza utafkiri hawana kocha.. wanakaba hovyo sana bila structure ,kipindi cha pili inabidi wabadilike.
 
Villa katoa matokeo mazuri kwa arsenal, huwa namuhofia Unai, ni kama ana grudges na Arsenal na anataka kuonyesha kitu.
 
City anakomaa ashinde leo kwa sababu next week ana Liverpool
 
Hua tunasema katika mechi mbili ni bora upoteze moja kisha ushinde nyingine kuliko kusuluhu zote.

Leo tena mentality monsters wamecrumble under pressure.

Against Spurs
 
Manchester city have bottled a 2 goal lead against Spurs and no one is talking about it.

Laiti ingelikuwa ni Arsenal ndo imebottle mngemuona Labyrinth 84 na paragraph zake humu eti timu inayopigania taji haiwezi kuwa imeongoza bao 2 first half kisha ije itoe sare at full time.
Saivi yupo kimya anajifanya hajaona chochote kwa sababu ni Manchester city
 
Hao ni plastic fans, the only thing they can do ni kuona mabaya ya Arsenal. Yani kufungwa na Manu plastic fans wamekuja na theories kama zote, we have the best defence., hata kama hatuna prolific striker mwenye 10+ goals.
 
Tuna miaka mitano tu hatujabeba kombe coz mara ya mwisho kubeba kombe ilikuwa 2020 ( FA cup)

Haya wewe sasa Nambie kabla ya kubeba carabao msimu Jana mlikuwa mmekaa miaka mingapi bila kuchukua kombe lolote.

Naomba unijibu tafadhali
Miaka 5 unaona michache sio? Tushabeba kombe tayari miaka ishafutika, Newcastle ya sasa ni ya matajiri tena mna bahati tu wameleta mambo ya PSR ingekuwa enzi zile wangemiminika vifaa vyakutosha
sasa arsenal si tumezoea wazee wakuchoma mzee hatujazoea city kuchoma. Tunachojua mtachoma muda wowote ule ni suala la muda tu , pamoja na kuwalazimisha kuchukua ubingwa ila bado mtazingua .

Mwaka huu mkishindwa kuchukua basiii tutawatandika viboko wote nyinyi.
 
Naona umeanza kubadili msimamo wako sasa umegeuza ubao umeanza kusema mwaka huu tusipochukua

Huwa unanichekesha Sana we jamaa na hizi ngojera zako😅
 
Guardiola uwezo wake ndo umeisha hapo hivo Hana maajabu tena.
Huu msimu pia kuna uwezekano akatoka patupu bila kombe lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…