Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,340
- 4,020
Mimi ninachokumbuka newcastle ndani ya miaka 3 tuna kombe , nyinyi ndani ya miaka 3 mna nini cha maana zaidi ya nafasi ya 2.Huyu kenge Labyrinth 84 hata hawezi kumbuka ni lini mara ya mwisho Nyukesto waliwahi kuwa tittle contender achilia mbali kubeba ila utamkuta humu ameshupaza shingo kutwa kucha kuikandia Arsenal.
Pumbavu kabisa!
Najua unachozungumzia vizuriii , UEFA moja ni sawa na EPL 3. Unapochukua CL tayari unaondoa kumbukumbu ya kutochukua EPLUnajua acha ukenge basi, nazungumzia epl bhana usi jitoe wenge.
Kumbe kweli dishi haliwezi kuwa repaired kabisa, ko fifa ni wajinga kuwa na mashindano tofauti?.Najua unachozungumzia vizuriii , UEFA moja ni sawa na EPL 3. Unapochukua CL tayari unaondoa kumbukumbu ya kutochukua EPL
Tuna miaka mitano tu hatujabeba kombe coz mara ya mwisho kubeba kombe ilikuwa 2020 ( FA cup)Mimi ninachokumbuka newcastle ndani ya miaka 3 tuna kombe , nyinyi ndani ya miaka 3 mna nini cha maana zaidi ya nafasi ya 2.
Tangu Newcastle ianzishwe ile Carabao ndiyo kikombe chao cha kwanza.Tuna miaka mitano tu hatujabeba kombe coz mara ya mwisho kubeba kombe ilikuwa 2020 ( FA cup)
Hata wewe sasa Nambie kabla ya kubeba carabao msimu Jana mlikuwa mmekaa mingapi bila kuchukua kombe lolote.
Naomba unijibu tafadhali
Afu jamaa anakaza fuvu kujifanya mjuaji kutuliko Sisi wakati timu yake yenyewe tunaijua ndani njeTangu Newcastle ianzishwe ile Carabao ndiyo kikombe chao cha kwanza.
Timu inavuja kila sehemu lakini husikii kocha akiogopa kufukuzwa wala mashabiki kudai kocha hafai.
Jamaa huwa anajifanya much know kumbe kichwani zero.Kumbe kweli dishi haliwezi kuwa repaired kabisa, ko fifa ni wajinga kuwa na mashindano tofauti?.
wapi pame andikwaa uefa 1 ni epl 3 kenge kweli
Miaka 5 unaona michache sio? Tushabeba kombe tayari miaka ishafutika, Newcastle ya sasa ni ya matajiri tena mna bahati tu wameleta mambo ya PSR ingekuwa enzi zile wangemiminika vifaa vyakutosha.Tuna miaka mitano tu hatujabeba kombe coz mara ya mwisho kubeba kombe ilikuwa 2020 ( FA cup)
Haya wewe sasa Nambie kabla ya kubeba carabao msimu Jana mlikuwa mmekaa miaka mingapi bila kuchukua kombe lolote.
Naomba unijibu tafadhali
Sasa kama miaka 5 ni mingi na vipi kuhusu miaka 70 ambayo timu yako ilikaa bila kushinda chochote😂Miaka 5 unaona michache sio? Tushabeba kombe tayari miaka ishafutika, Newcastle ya sasa ni ya matajiri tena mna bahati tu wameleta mambo ya PSR ingekuwa enzi zile wangemiminika vifaa vyakutosha.
City hatakiwi kudondosha points. Spurs ni rival inabidi anyooshwe na hatutaki watu wasingizie City mbovuVilla amedondosha point zote 3
Ni zamu ya City sasa kudondosha
Spurs acha wapigwe tu na kuna uwezekano wakashushwa darajaCity hatakiwi kudondosha points. Spurs ni rival inabidi anyooshwe na hatutaki watu wasingizie City mbovu