Watoto wa kule wana bei elekezi za moto sanaAngalia exotic.com kwa google chrome.
Kupiga miguu yote ( kwa mwanamke) ndo kufanyaje Castr 😅Kwamba huyu mtu alivyoona hizo picha akadhani ni draw ya UEFA.
Na akascreenshot kuja kushare na maneno ya jikoni?
Unaona watu ambao unahisi unatakiwa kuongea nao juu ya mpira? Hawa watu ni kuongea nao juu ya matako tu.
Mwanangu kama una demu anapiga miguu yote na yupo Dodoma share number DM.
All the wayArsenal to the quarter finals🔥 🔥
View attachment 3536668
Dah 😂 upo mbali sana mzeeKupiga miguu yote ( kwa mwanamke) ndo kufanyaje Castr 😅
Bei za kuchora, we uki mfikia mwambie best ako kani lengesha. Jibu kijeuri lazima ashuke.Watoto wa kule wana bei elekezi za moto sana
kelele zote tunajua wa mjini kumbe!! unauliza maswali mepesi hiviKupiga miguu yote ( kwa mwanamke) ndo kufanyaje Castr 😅
Kwa context ya mpira naelewa maana ya kupiga miguu yote.kelele zote tunajua wa mjini kumbe!! unauliza maswali mepesi hivi
Ngoja nianze na gia hiziBei za kuchora, we uki mfikia mwambie best ako kani lengesha. Jibu kijeuri lazima ashuke.
Inamaanisha anatoa ndogo piaKwa context ya mpira naelewa maana ya kupiga miguu yote.
Na kitaalam mchezaji anayecheza kwa miguu yote miwili hitwa * ambidextrous*
Santi Carzola no mfano mzuri.
Sasa niliomba kujuzwa maana ya mwanamke kupiga miguu yote miwili au ndo ufundi kitandani??
Castr
Aisee... Hili nilikuwa silijui kbsa😂Inamaanisha anatoa ndogo pia
Ila mkuu kufanya mapenzi kinyume na maumbile sio nzuri epukana nayo kbsaInamaanisha anatoa ndogo pia
Ødegaard has been shit lately, huwa sipendi tabia yake ya kuremba remba mpira na kufanya mizunguko isiyo na maana.Arteta kasema kwamba Odegaard kutobaki juu ya line na kuja chini kurudi karibu na defense na kupokea mipira siyo maelekezo yake isipokua ni instincts za Odegaard mwenyewe.
Kati ya MF wetu Eze hua hashuki chini na ni MF ambaye anapokea mpira huku yupo under pressure ya defense ya timu pinzani. Notice kwamba mara nyingi Odegaard akipokea mpira anakua peke yake bila pressure na kama ipo ni ya mchezaji mmoja ambaye atadribble na kutoa pasi nyuma kwa beki ambaye ametoka kumpa yeye mpira au atapeleka kwa Saka.
Naamini pia Calafiori pia anaangukia kundi hili kwamba anachofanya siyo maelekezo ya kocha. Ile kuzunguka uwanja mzima na kuacha upande wake kua wazi ni yeye mwenyewe. Lakini kwanini anagewa namba pamoja na haya? Hiki anachofanya kinasaidia kucreate chances.
So mashabiki tunaona kwamba Odegaard anasaidia defense ila hiyo haikua kazi yake ilikua ni ya Zubimendi na Rice. Yeye alitakiwa abaki juu kidogo kumletea mipira ST.
Saka pasi zake nyingi ilibidi azipate kutoka kwa Timber. Odegaard alitakiwa awe sehemu ya threat kwa upinzani siyo mtoa relief.
OhooIla mkuu kufanya mapenzi kinyume na maumbile sio nzuri epukana nayo kbsa
Hivi Rice hawezi kukaa hapo kwa Zubi.Kai do the supply homie
View attachment 3537041