Inabidi tuwe makini sana na hizi counter attack.
Wenger amtoe kati ya Walcott au Gervinho aje Arshavin au Benayoun. Mtu ambae haogopi ku-face mabeki
really??mancs watapoteza hii game refa anawabeba sana ... .... .. Bora sasa wacheze mpira sasa .. ...
Lini utaacha kulialia weweMancs watapoteza hii game refa anawabeba sana ... .... .. bora sasa wacheze mpira sasa .. ...
Hivi mbona mipira inapotea kizembe sana.... Tunawajengea CITEH confidence ya kibwege......
Hivi mbona mipira inapotea kizembe sana.... Tunawajengea CITEH confidence ya kibwege......