Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona vijana ndo wanaingia Groundini.... Nasri ndani... RM anataka kumuonyesha AW kuwa alikua sahihi kutoa mahela mengi kumnunua Nasri!!! Hana game nzuri sana Nasri may be leo ataonyesha kiwango.... Natarajia kuona mpira mzuri.....
 
Wakuu leo tunakula sahani pamoja lazima tuwatandike City hamna kuogopa kabisa
 
Nsikia pundit wanasema upenyo kwa arsenal kupigwa bao na man city utakuwa kwa djorou na matersacker. Ngoja tuone.
 
Kazi tunayo gooners, ila mpira unadunda au sio?!

Walete walete...
 
Hizi offside trick inabidi boys wawe makini...... KUN katukosa.....
 
So far Kati jamaa wamedhibiti... RAMSEY is unseen.... Mipira haiendi mbele kabisa..... hatuna move hata moja ya maana
 
Back
Top Bottom