Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gervinho inabidi akaze sana leo sio game ya kucheza lege lege. Na Walcott afanye maamuzi haraka pia akipata mpira.
 
Game sio mbaya mpaka sasa ila huyu defence martesacker simuamini sana
 
Hii naona ni mechi y kushinda au kushindwa itategmea uhai au kusinzia kwa midfield
 
Jukwaa hili leo muhimu kulitazama maana wapenzi wa The Gunners ni kivutio cha ajabu, wakishinda wanasahau yote wakifungwa wanalia kama watoto. Siondoki humu, maana naona kuna kazi ya kubembeleza watu humo maana hamtoki salama!
 
Hawa wetu leo, Theo W na Gerv wanachechetuka sana wakiwa na mpira, inabidi wawe na confidence tu.

Hawa wetu leo...!
 
our DM and CB wote wana njano.... hii sio njema kwa team yenye strong attacking force kama CITEH!!!!!
 
Huyu refa 50/50 zote anawapa Mancs .... umiliki wa pale kati bado kutengemaa kwa Gunners .... ...
 
Hawa wetu leo, Theo W na Gerv wanachechetuka sana wakiwa na mpira, inabidi wawe na confidence tu.

Hawa wetu leo...!


Kweli kabisa jamaa hawana confidence kabisa. Wanatetemeka wakipata mpira, na mbaya zaidi wanataka kuukokota wakati wanajua hawana confidence. Bora wakipa mpira wawe wanatoa pasi za haraka tu.
 
Vijana wanajitahidi medias zilikuwa zina tu underestimate sana tu
 
Vijana wanajitahidi medias zilikuwa zina tu underestimate sana tu

Mkuu bado unasikiliza media iliyonunuliwa? Msiwe na shaka Prof atabadili mchezo kipindi cha pili .... ...
 
So far Kati jamaa wamedhibiti... RAMSEY is unseen.... Mipira haiendi mbele kabisa..... hatuna move hata moja ya maana

arsenal wanahitaji kuwa na kuingo mshambuliaji wa ukweli,kwa ramsey si mchezaji wa kumsaidia rvp ipasavyo
 
Back
Top Bottom