Naona kuna wanetu wanasema wageni wote wameshinda hawajui hii trend ya leo siyo mara ya kwanza.
Jesus kua mbele means atacheza kama false 9 zaidi na hii inaweza saidia kwenye kuwapa back up Odegaard, shida inakuja kwenye wings zetu. Jesus anaweza kuhold defense ila wings zetu hazifanyi kucut in na kuscore.
Labda leo wafanye hivyo la sivyo tutashuhudia wakijichelewesha kumsubiri Jesus awe kwenye boksi.
Maguire kuwepo ni ili aasisst kwenye aerial duels na kuscore but jamaa ni liability. Same na Casemiro na Mainoo. With proper handling natarajia yellow kwa Casemiro au Mainoo.
Let's fuckin go