Huyu mpuuzi hajui mpira wowote ndo maana watu wanamuitaga "sheen kicker"Team of The Year
Kaingia Rice na Saliba.
Na bado kuna watu walimfananisha Enzo na Rice, Enzo akachemka. Narrative ikahamia kwa Caicedo.
Wanampa pressure anacheza rafu za kifala
Nadhani Arteta atafute CAM mwenye quality,Odegard kucheza kama RAM anafanya timu iwe predictable kwenye kuandaa mashambulizi kwani unajua kabisa pasi itapigwa kwa Odegard kwenda kwa saka na pass zenyewe fupi fupi sio za kukata lines kwa box la wapinzaniKuna namna odegaard anatuangusha
Katika mzunguko wa pili wa ligi huwa naziofia sana timu ambazo zinataka kushuka daraja. Kwasasa Bora ukutane na liverpunda au kenge kuliko kukutana na burnleyTatizo sio kushinda match 7 tatizo linakuja arsenal ni false hope team :
Ushindi wa jana vs inter ndo false hope yenyewe , jana match haikua na umuhimu wowote maana mlishafuzu 16bora.
Match za muhimu ilikua Nottingham na liverpool na bado mkaonyesha uhalisia wenu mkashindwa kushinda.
Ushindi wa jana kina castr , mkorea na arsenal fans wengine meno yote nje kwa kulishwa false hope , meno mlitakiwa mtoe nje kwenye game vs Liverpool emirates au Nottingham pale city ground.
Tupo hapa man utd hamtamfunga naona kesho zinabaki points4 lawama zitakuwa nyingi humu ndani.Kuna theory inasema "ni rahisi sana kuchukua point kwa nyumbu kuliko timu iliyo kwenye hatari ya kushuka daraja"
Man city amepoteza points 3 kwa nyumbu na leo yupo uwanjani na timu iliyo mkiani
Soma tena aya ya kwanza then unganisha dots aya ya kwanza na ya pili.
NB
Kesho Arsenal tupo na nyumbu
Uhalisia upi tena ndo maana ya kubeba kombe lazima watu wakuogope technically unasema mliogopa kwasababu ya jina kubwa la liverpool ( champions league 6 na epl zakutosha) wakati nyinyi zero UCL na miaka 22 without EPL kwanini usiogope!Arsenal kutoa sare na liverpool nilichukia sana. Tulicheza nao kwa jina lao badala ya uhalisia wao.
Mzenge anatukaba sana yuleKuna namna odegaard anatuangusha
Nitarudi hapa baada ya mechiTupo hapa man utd hamtamfunga naona kesho zinabaki points4 lawama zitakuwa nyingi humu ndani.
Mlikua na chance ya points 12 lakini kama kawaida yenu false hopers.
Man utd kwenye game kama hizi ndo huwa anaonyesha ukubwa ni ukubwa tu ww utaona kesho arsenal players watakavyokua wanatetemeka wakati utd wakija kama nyuki.
Nina uhakika kesho man utd hamtamfunga .
Ndio, aanze yeye ili aweze kucreate chaos kwenye defence ya nyumbuJesus anafaa sana kuanza game ya leo kuliko Gyökeres
And the rest is history 😅Watu walijimaliza. Usione wana hasira
View attachment 3534093