Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,404
- 96,728
Acha dharau mi sio wa kishua, mimi ni raisi wa ma jobless pro maxDogo kumbe wakishua enzi hizo unacheki Tv kwenu mna mpaka madishi wakati wengi wakiwa analog na Tv mpaka kwa jirani wachache.
Mimi nimeanza 2008 enzi hizo nipo darala la kwanza
Shindeni mechi zenu acheni shobo kuwategemea wanaume wa nje.Damu nzito kuliko maji.
Jana wakati game linaanza, makenge yalikuwa yanaimba wimbo wao ule ule, wafungwe ili watukomoe Arsenal.
Na kweli, yalivyopigwa chuma, makenge yakaanza kushangilia bhana.
Dakika ya 94, wakati Fernandez anarudisha kamba, bhana weee, yasianze kushangilia tena.
Kweli damu nzito kuliko maji!
Sisi arsenal hatuli vichwa vya wanaume wenzetu, kama nyinyi chelkenge au nyumbuArteta akikosa EPL msimu huu lazima aliwe kichwa
Endeleeni ku-trust process isiyotimizika πSisi arsenal hatuli vichwa vya wanaume wenzetu, kama nyinyi chelkenge au nyumbu
Weka mali yako ya nyuma kama bondEndeleeni ku-trust process isiyotimizika π
Assanal mna matatizo sana, mnapenda mali za nyuma sana.Weka mali yako ya nyuma kama bond
sisi arsenal tuko fresh, labda nyinyi chelkenge. Nime cheka kishenziAssanal mna matatizo sana, mnapenda mali za nyuma sana.
Vp mkuu, upo salama kweli?
Huwez kuwa fresh afu muda wote umekadhania nyuma nyuma, lazima kuna kiungo hakipo sawa mwilinisisi arsenal tuko fresh, labda nyinyi chelkenge. Nime cheka kishenzi
Kama kawaida yenu wazee wa NetflixArsenal Bado mechi 17 tutangaze ubingwa
Ukitoa kenge, nyumbu, spurs, bournemouth, hizo ni must win games technically tutakua tumebakisha michezo 13 kutangazwa ubingwa
Happy new year
Noma sana, hatutakiwi kubishana humu. Unaweza kuta unabishana na mwanaoAisee kumbe humu tupo na watoto, yaani 2008!! upo darasa la kwanza mi ndio napata mtoto wa kwanza, achana na zilizonywewa P2 kipindi nasoma, kama sivo ungeweza kuwa umri wa mwanangu.
2008 la kwanza?Dogo kumbe wakishua enzi hizo unacheki Tv kwenu mna mpaka madishi wakati wengi wakiwa analog na Tv mpaka kwa jirani wachache.
Mimi nimeanza 2008 enzi hizo nipo darala la kwanza
Nimeanza mwaka huo ila uwezo wangu wa kimpira na uchambuzi zaidi ya aliyeanza miaka ya nyuma .2008 la kwanza?
Kumbe ndo maana ni halali yenu kushabikia man city
Chelkenge mme pigwa 2 huko, bado una hangaika na sisiππTusishangae gooners bado wakashindwa kuchukua ubingwa π
Chelkenge n chelkenge tuu mkuu πChelkenge mme pigwa 2 huko, bado una hangaika na sisiππ