Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uliyo suggest yote yatafanyiwa kazi ila lazima tuanze sherehe za mdomoni mapema coz tumetukanwa sana, tumedhalilishwa sana, tumekashifiwa sana. Kiukweli mwaka huu mtatusamehe tu
 
Mpaka saa hii Arsenal, Aston villa na City zimejihakikishia kutoshuka daraja. Hakuna ambaye kajihakikikishia kuchukua kombe bado.

Game ya jana imetuonyesha kwanini Gyokeres ni muhimu kuwepo na kwanini tunatakiwa kufanya high pressing. Gyokeres anasababisha wachezaji wengine kua free kupokea mipira haswa wingers.

Jana alijitahidi kua involved. Lakini involvement yake haikumpa matunda ikawapa wengine. Martinelli offensively hakua sharp.

Odegaard katoa assist lakini sielewi kwanini first instinct kwake ni "play it safe" no risk in trying to tear apart defense kwa pasi na one two ila ni sideway passes na back passes ndiyo option namba moja.

Midfield ilikua haikabi. Ikambariki Bournemouth goli la pili..

Huu ushindi hauhalalishi hii performance. Bournemouth ni ya 15 kabla ya mechi ya jana walikua wamecheza mechi kumi mfululizo ambazo wamesuluhu tano na kufungwa tano. Kama unahisi matokeo ya msimu uliopita yanahalalisha hii performance notice kwamba kwenye game nao msimu uliopita we were better in everything, walitufunga kwao huku Saliba akila red, na kocha akamuanzisha Sterling na hatukua na option kwenye benchi.

Na bado tulikua tunacheza kwa nguvu zote. So hii performance ni ya hovyo.

Next game Liverpool anakuja Emirates Alhamis
 
Tushacheza sana pira biriani na hatukufika popote. Cha msingi ushindi Kaka
 
Kuelekea safari ya ubingwa msimu ule tulipata majeruhi mengi na hatukuwa na kikosi kipana kama wakati huu.
 
Kuadhibu beliefs.

Timu inayoamini inapata matokeo ukiwa unaadhibu hicho kiherehere ndiyo kila unayekutana naye anajihami.

Hajiachii.

United anacheza na timu inaamini itapata chochote angalia wanavyojiachia
 
Kuna tatizo kubwa sana pale unyumbuni, game nyingi nyumbu wanacheza oya oya au kama vipi vipi
Sina uhakika kama amorim ndio amewaambia wacheze hiv ninavyoona mimi hapa
 
Maressa pamoja na mafanikio yake ndani ya miezi 18 pale Chelsea na amefukuzwa, Ila kuna vitimu makocha wao n wanasesere ila bado wapo tuu πŸ˜‚
Maressa akifika man U na arsenal anaweza kuwa kocha wa maisha πŸ˜‚
 
Labda Maisha Plus
 
Idea ni kuhakikisha Kenge harudi CL msimu ujao. Inabidi Sunderland ashinde na Everton ashinde ili kumuondolea matumaini ya kunusa top 4.

Kenge kabisa
 
Idea ni kuhakikisha Kenge harudi CL msimu ujao. Inabidi Sunderland ashinde na Everton ashinde ili kumuondolea matumaini ya kunusa top 4.

Kenge kabisa
Khs kutoka top 4 Hilo sahau, Ila lazima Leo tumpe ushindi man cty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…