SAKA na MARTINELLI msimu wa mwaka jana au juzi nilisema hawa ni AVERAGE players, hawawezi endelea na moto ule ule..
Ila kikubwa timu inashinda hamna tabu.
Naona odergard nae sasa hivi kapata akili za kushoot
Mimi kila msimu nawaita wazee wa false hope sababu nakuwa na uhakika hawachukui lakini msimu ni tofauti arsenal kuchukua ubingwa sio suala kubwa Nampa asilimia 90%