Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Baba mwenye nyumba karudi mzee wa kazi chafu. Si ajabu baada ya hapa tukaanza kuscore conners
 
Naona siku za false hopes zimeongezeka wolves alikua anazimaliza leo leo.
False hopers ili mgombanie ubingwa atleast mnahitaji midfielders zenye akili na miguu kama ya trossard na sio wavunja kuni.
 
Umeshindwa kulala kazi kuiwangia Tu Arsenal😏
Mara hii utateseka sana
 
Hii Arsenal wala haihitaji kuwangiwa hii ukishafika x mass inaanza kujiwangia automatic. Huwezi kunielewa kwa sasa subiri April au march kidogo ndo huwa mnaanza kupata akili misukule
 
Newcastle yako inao uwezo wa kututoa pale juu au anabwabwaja tu
 
Sijui nianze wapi ila hii ni performance ya hovyo.

Hii performance imetuonyesha bado hatuna dawa ya wapaki basi na bado tunabreak vizuri tu under pressure.

Ona goli la pili la Villa na ona goli la kusawazisha la Wolves.

Bado Saliba na Magalhaes ni best CB combo kwetu.

Bado forward zinawaza kusomba sifa individually na haziwazii timu.

Usually hii ni dalili ya disaster
 
Hii Arsenal wala haihitaji kuwangiwa hii ukishafika x mass inaanza kujiwangia automatic. Huwezi kunielewa kwa sasa subiri April au march kidogo ndo huwa mnaanza kupata akili misukule
Mlikuwa mmetuzoea Sana ila nakuhakikishia huu msimu tunachukua point zote 6 kutoka kwenu.Tatu tayari zipo kibindoni.
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    40.2 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…