Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal timu pekee tulopoteza mechi mbili tu.

Next game ni dhidi ya Wolverhampton Wanderers na tutarudi kuwa 5 points clear.

Manchester City wana game baada ya sisi next Saturday.

Hamna wasiwasi ila mechi na Everton itasumbua.
Mwaka wa tano huu hisabati ni izi izi na arteta wenu mwisho wa ligi nafasi ya pili
 
Kula kujilamba
 
Attachments

  • Screenshot_20251208_091312_Lite.jpg
    109.9 KB · Views: 11
Arsenal losing ni kutukumbusha kwamba we are human, and then we start terrorizing everyone.
 
Kula kujilamba
Liverpool walituacha Arsenal points 8. Mlikua hampigi hizi hesabu.

Arsenal tumekaa juu kwa tofauti ya points nane mkapiga hesabu mkasema hata hivyo mechi bado nyingi.

Mimi nakuambia hapa mwanetu mechi bado nyingi
 
Hesabu hazikupigwa sababu aliyeachwa alikua ni Arsenal ( false hoper). Liverpool aliwaacha point 8 na akaenda kuchukua ubingwa.

Hesabu zinapigwa arsenal akikaa juu kwasababu mmoja aliyepo juu ni false hoper, man city mlimuacha point 8 now zimebaki 2 .

Tuombee man city kwenye mbio za ubingwa asiwe na arsenal maana ubingwa utakua mweupe sana kwa city , as usual kwenye ubingwa ukishaona anaikukimbiza ni arsenal wewe anza kusherekea ubingwa maana arsenal ni furahisha ligi na si title contender.
 
Liver kachukua ubingwa upi wakati msimu haujaisha? Upo sawa kichwani?
 
H
Liver kachukua ubingwa upi wakati msimu haujaisha? Upo sawa kichwani?
Hujui kwamba liverpool ni bingwa mtetezi?, ubingwa wa mwaka jana muda kama huu liverpool alikua kakuzidi points ngapi?

Mmetoka points 8 mpaka 2 tena hizo 2 ni kwq man city team yenye kocha mzoefu kuliko yeyote pale EPL na hizi mbio za kukimbizana anaziweza sana.
Kubali ukate arsenal mwendo mmeumaliza mapema sana wakuu au hili unabisha pia?
 
Mimi naongelea msimu huu Liver alitengeneza hilo gap. Una stress za nini babu
 
Mwendo wa nini?
 
Mimi naongelea msimu huu Liver alitengeneza hilo gap. Una stress za nini babu
Stress zitoke wapi wakati kuna woltermade pale st james mzee.
Hilo gap la liver la point 8 mwanzo wa ligi pia ulikua unalihesabu mzee? False hopers gap atleast tunaanza kulihesabu match ya 12 iviii au msimu wa x mass kama huu .
 
Mwendo wa nini?
Mwendo wa ubingwa, aston villa alinipigia ball tamu sana una enjoy kabisa yaani pass zinaenda kwenye njia team inatengeneza space and chances za kueleweka. Nyinyi mnasubiri mipira ya kona ndo mshinde.

For 22 years lakini bado mnafanya utani sana yaani EPL unyanyue kwa magoli ya kona !! Mko serious kweli nyie vibaka 😂
 
Stress zitoke wapi wakati kuna woltermade pale st james mzee.
Hilo gap la liver la point 8 mwanzo wa ligi pia ulikua unalihesabu mzee? False hopers gap atleast tunaanza kulihesabu match ya 12 iviii au msimu wa x mass kama huu .
Woltermade si kiazi tu anashindwa kuwaokoa na hizo loss tano na kua nafasi ya 12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…