Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aston Villa wananipa mawazo sana, na hizi injuries kule nyuma, tunahitaji outstanding performance kutoka kwa Arsenal siku hiyo.
Hii game tukipata ata suluhu TU inatosha, maana Unai waga ni kama vile bado ana bifu na Arsenal, huwa anachukulia very personal

Wakati sisi tunaomba suluhu na City nae apate suluhu kwenye game yake na Sunderland lasivyo maji yatazidi Unga
 
Suluhu tena mkuu, mbna tunashinda vzur tu
 
Wiki mbili zilizopita walianza kusema wana defense nzuri na kipa wao ni mzuri ndiyo sababu wana clean sheets 6 na Arsenal ina 7.

Hizi kelele hautazisikia kwa sasa
Unashindaje beki akiwa Tosin ukisema tunakamia ukosea kwasababu Maresca huwa hayupo serious when comes to face small opponent anaweza kupumzisha wachezaji mpaka 6 muda mwingine mbona nyinyi Arsenal hamna huu upuuzi
 
Shida ni beki? Kama ni hivyo ilibidi forwards ziwe zinascore convincingly. Kwamba beki yetu ni mbovu imeruhusu magoli mawili ila forward ikascore nne.

Huu ndiyo mchezo Liverpool walikua nao mwanzo wa msimu. But timu yenu sidhani kwamba hamshindi na sababu pekee ni Tosin kua beki
 
Msingi wa team upo kwenye beki line na viungo ukiua hapo uko mbele hapana faida ndio maana nilivyoona tu kikosi nikajua kabisa game tunapoteza si uliona nimelalamika hata kukiwa game haijaanza
 
Hii game tukipata ata suluhu TU inatosha, maana Unai waga ni kama vile bado ana bifu na Arsenal, huwa anachukulia very personal

Wakati sisi tunaomba suluhu na City nae apate suluhu kwenye game yake na Sunderland lasivyo maji yatazidi Unga
tukishinda hii game itakuwa unyama sana.
 
Hii game tukipata ata suluhu TU inatosha, maana Unai waga ni kama vile bado ana bifu na Arsenal, huwa anachukulia very personal

Wakati sisi tunaomba suluhu na City nae apate suluhu kwenye game yake na Sunderland lasivyo maji yatazidi Unga
At this point ni ushindi tu ndiyo way forward. Kila timu hua inatusubiri kwenye long balls na kupaki basi, ni vile tu Villa amekua successful kuzidi wenzake ndiyo sababu tunahofia anaweza haribu shughuli
 
Nuno hawezi kukubali Nottingham wasogee kwenda mbele halafu yeye abaki pale chini.

Ninaona akienda kujaribu kuleta upinzani dhidi ya United. Allypipi atakachotabiri kitatoa picha zaidi
 
Akajirekebisha hiyo weakness atakuwa bonge la kocha
Mtu anayejua kitu akikosea inakua mistake, asiyejua inakua ni error. Error hutokea kila mara kwa kitu kimoja kilekile.
Kama mmepima mmeona hiyo ndiyo weakness tangu mumjue I have news for you bruv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…