Vp suala la kunitajia kombe moja la nje ya UK limefikia wapi mkuu?Kama haujaangalia mechi unaweza ukaamini vitu vingi kweli kweli.
Chelsea alipaki basi. Relied on break offs, long balls na counters. Maresca alijua anachotaka akaweka wachezaji wana pace ili kuenforce hili.
Bahati mbaya Estevao kwa sasa hana tofauti na Antony ila ilibidi aexploit weaknesses za Calafiori kumuacha peke yake mara nyingi.
Goli walilofunga Chelsea ni timu chache sana zisingefungwa, Gods of football made sure Arsenal concede set piece halafu Arsenal ipate goli la open play.
Notice jinsi hakuna anayelalamikia tena set piece goals.
Notice hakuna anayesema Cucurella ni best LB. Cucurella hajawahi kukutana na Arsenal akaperform, sasa subiri mechi mbili zijazo wataanza upya.
Notice hakuna anayesema Caicedo ni best DM. Hiyo title wamempa Reece. But what did he do? Timu ina possession ya 30% what was he doing?
As of now mtu wa 8 ana chance ya kumtoa Chelsea alipo kuliko Chelsea kumtoa aliye nafasi ya 1. But they don't see this, inanikumbusha Manchester alivyofungwa moja wakasema ila tumecheza vizuri ligi ijiandae. Same vibes hapa.
Arsenal kacheza domestic cups, FA na Carabao na Ligi, kacheza UCL na kapoteza game 1 kasuluhu 3. "Tutakutana March" "Tutakutana March" si tukutane sasa au?
Bado yupo kabatini anatafuta hilo Kombe moja πAkitaja unitaq nipo hapa π€£π€£π€£π€£
Hy fainali ya Europa tuliyompiga 4-1 ndio usiku wao wa kukumbukwa π mana hajawahi kufika fainali yoyote ya maanaHuko unamuonea sana mwambie ataje tu usiku wa UEFA mmoja ambao unabaki kwake kama kumbukumbu nzuri au unaokaribiana tu na nyakati kama hizi:
Chelsea vs Bayern (UEFA)
Chelsea vs Man city(UEFA)
Chelsea vs PSG . (Fifa )
Chelsea vs Arsenal (Europa )
2005/2006 mourinho kaja kachukua league.
2009/2010 Ancelotti kaja kachukua league
2014/2015 karudi mourinho kachukua league
2016/2017 kaja conte kabeba league .
Miaka yote hio Arsenal anajenga team mpaka leo ππ
Nje ya UK Arsenal imeshinda makombe ambayo hayana umuhimu kama hilo la Club World Cup. Ninaweza nikakutajia ila itakua haina maana.Vp suala la kunitajia kombe moja la nje ya UK limefikia wapi mkuu?
Walikuwa na mdomo vibaya na propaganda nyingi ili tuwaone ni timu tishio mara ooh Chelsea wamesogeza mabango ili wasiwe wanarusha vizuri Baada ya game kuisha wamekaa kimya Kama sio wao PSG kwenye ubora wake kabisa kakandwa vizuri tu yeye nani? Team zinakuwa Bora ikiwa haujakutana na Chelsea na hapo Palmer hajacheza kabisa, sisi tumemkosa beki wetu Bora kabisa Colwil na still matokeo tunapataArsenal huwezi kubishana na chelsea mtu pekee ambaye arsenal anaweza kubishana naye labda Tottenham , ambaye anaweza kukunyamazisha na europa yake.
Timu pekee ambayo matokeo yake kutabiri huwa ni ngumu sana ni chelsea haijalishi anakutana na team gani kubwa yoyote vile, historia inaonyesha chelsea always ni kubwa kwa team yoyote ile mfano
Chelsea vs bayern 2012
Chelsea vs real madrid 2021
Chelsea vs man city 2021
Chelsea vs barcelona (mara kibao sikumbuki ni lini barca amemfunga chelsea zaidi ya ile game ya kubebwa 2007)
Juzi tu hapa chelsea vs PSG (PSG iliyoshindikana chelsea amejipigia kama mlevi). Final ipi chelsea kaacha kombe?
Chelsea haijawahi kuwa kibonde kwa team yoyote duniani.
Arsenal vibonde wa wengi bayern kajipigia sana , barca ndo usiseme messi anajipigia tu goli 4 nakuendelea, furaha yenu kubwa ni UEFA ni kumfunga real madrid
Tupo 10 men unafanyaje nyinyi ndio wajinga mmeshindwa kutumia hiyo advantage na mlishukuru sana maana bila hivyo mlikuwa mnakufa pona yenu ni red cardChelsea wako nyumbani WANAPAKI BASI!
WANAFURAHIA DRAW!
ARE THEY A SMALL TEAM IN DISGUISE?!
Sitak ngonjera, taja kombe mojaNje ya UK Arsenal imeshinda makombe ambayo hayana umuhimu kama hilo la Club World Cup. Ninaweza nikakutajia ila itakua haina maana.
Umefurahi au una spinning mpya?
Ama kweli akili maliSitak ngonjera, taja kombe moja
Kwani na nyie arse8 asaniWali munaupigia hesabu ubingwa???Msimu huu hakuna kubottle mzee usinambie huyu City anayefungwa na Newcastle mbovu pamoja na kuhenyeshwa na Leeds kwao ndo atutoe nafasi ya kwanza.
Nyie hiyo March sijui mtakuwa wapi maana mshaanza kubattle top 4 mnalingana point na Villa. Wa sita mnamwacha pointi 2. Pointi tulizowaacha ni nyingi kuliko tofauti yenu na timu ya 11. Kama kilichowafurahisha ni draw na Arsenal sawa ila tofauti na hapo mmeenda nafasi mbaya zaidi. Ubingwa hata msiupigie hesabu.
Sasa nimeelewa. Jana was a worse performance kwa upande wangu. Arsenal uwe pungufu isikukalie kooni. Lkn jana walikuwa wapo wapo tu.Hongera gunners, wiki ilikuwa na mechi ngumu mno, spurs, Bayern Munich, Chelsea...
Siyo timu nyingi zingeiweza .
Kweli siyo kweli?!
Acha taarabuAma kweli akili mali
Midfielder ya James, Enzo na Caicedo sio Kama zile nyanya mnazozifunga sisi huwa tuna undava hicho ndicho kimewauaSasa nimeelewa. Jana was a worse performance kwa upande wangu. Arsenal uwe pungufu isikukalie kooni. Lkn jana walikuwa wapo wapo tu.
mm nilitegemea arse8 mtakuwa hapa jukwaani mkichambua kwann hamkushinda mechi ila cha kushangaza mnajitapa kutawala mchezo mbele ya watu 10 kweli hii timu ni ya misukule ya kiwigi