Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu ya watoto inapokutana na wanaume, sasa kati ya false hopers na chelsea nani anaonekana anatafuta ubingwa?
April watu watakibiana sana humu maana hio april kina aston villa sijui burnley watakua pungufu lakini watashinda.
 
Sare ya leo inauma sana
Kwa atmosphere ya game ya Leo,
Ukizingatia hii ni derby,
Mfuatano wa tough matches ambazo tumecheza consecutively,
Majeruhi ya saliba na Gabby kwenye defense,
sequence ya ushindi ambao tumepata mfululizo dhidi ya Chelsea na ukizingatia kwa form aliyonayo Chelsea;Haya sio matokeo mabaya.


Hongereni Chelsea ila Bravo arsenal
 
Lile kombe la dunia la vilabu mbona ni kama Audi cup la Spurs. Conference ni kombe la kiboya kutokana na timu unazokutana nazo kule. Hata FA lina timu ngumu
Mnatamani mpete japo kimoja wapo hapo lakini bado. Pambaneni sana na mvuje jasho kweli kweli
 
Mnatamani mpete japo kimoja wapo hapo lakini bado. Pambaneni sana na mvuje jasho kweli kweli
Itakua haujui.

Anayeshika nafasi ya kwanza hadi ya nne anaenda UEFA.

Haendi Conference league.

Arsenal hata akitamani hicho kikombe cha Conference league hana namna ya kukipata kwakua hawezi kwenda conference league
 
Nimekuta X shabiki wa City anasema wamefikia hatua wanaomba Mungu Chelsea amzuie Arsenal. Kuna jamaa akapost tu hii picha

View attachment 3507904
Sawa, baada ya hapo mkapata mafanikio gani?

2021/2022 Baada ya arsenal kumfunga Chelsea nje ndani lakini bado Chelsea akashinda UCL

2025 baada ya arsenal kumfunga Chelsea, lakini bado Chelsea akawa bingwa wa dunia.

Sasa mkuu, em nipeni mafanikio yenu baada ya kumfunga Chelsea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…