Tulichomfanya liverkideri ndicho tutawafanya Nyie Tena mapema tuuHatimae keka likatiki kwa ukatili kabisa, kuku aka acha point 12/15.
makaveli10, Mad Max, Asante chelkenge Mbaga Jr ila kono la nyani lazima upasuliwe nalo.
Tulichomfanya liverkideri ndicho tutawafanya Nyie Tena mapema tuu
Hiyo mechi hawatoki Mzee, tia laki utaniambiaNilikuwa nawaza pia kupoteza dhidi ya chelsea nadhani ilikuwa kipindi cha Tuchel, meanwhile Arteta kapoteza mechi mbili tu dhidi ya chelsea, lampard 2-1, Tuchel 2-0, naona wakicheza kwa kujitahidi sana km ile mechi waliyomfunga liverpool kwetu watapata draw, na hii ni sababu ya home advantage, km mechi ingekuwa Emirates ningetia laki kwa Arsenal sasa hivi
Ata kikosi cha jana mbona kenge ataelekezwa kibra vizuri tuHiyo mechi hawatoki Mzee, tia laki utaniambia
Hawana defence ya kusa stain msako na mbinyo
Kumbuka Ø,Gyko ,Jesus na martinell ndani ya nyumba
Anakosekana Magalhaes tu ,
Timu wanayo. Utajioneaila game ya bayern naona kama itkuwa vyema arteta awapumzishe saka, eze na trossard then martinelli, ode na madueke wakichafue siku hiyo, hizo silaha azipumzishe kwa ajili ya game ya chelsea mana game ya bayern naona kama sio lazima sana tushinde japo najua bayern hawana timu ya kutufunga saiv.
Ninachoshangaa ni kuwa hawa everton bado wanaonana na wanafungua vyumba vizuri tuIla waafrika tuna shida. Dakika ya 13 unampiga mchezaji wa timu yako mwenyewe halafu unagewa red unawaacha wenzako pungufu.
Hapa ndiyo nasema bahati muhimu. Timu gani itacheza na Arsenal halafu itajitafutia red makusudi?
Hawana timu ya kutufunga Bayern, labda Arsenal wenyew tuamue tu kufungwa.Timu wanayo. Utajionea
Last time si umeona ilivyokua?Hawana timu ya kutufunga Bayern, labda Arsenal wenyew tuamue tu kufungwa.
niliangalia ndio, sasa wakati ule hatukuwa vizuri sana kama hivi sasa, kwenye zile game mbili tulizocheza nao eneo la mid tunaanz na jorginho af partey yuko nje na kule nyuma sasa kushoto mara kaanza kiwior mara tomiyasu na kwa upande wa martinelli sasa we mwenyew ulkw unaon mambo alokuwa anafanya, ila kwa timu yetu ya sasa na kama tutaanz na lineup ile ile tulochez nayo jumapili au akaanz gyokeres badala ya merino kwenye ile ile lineup aah i feel sorry for bayern 😄Last time si umeona ilivyokua?
Asante sana mkuuMwaka huu wenu mshindwe tu wenyewe. Jana liverkuku majogoo wamewekwa 3, Mancity pia kapakatwa....mna room nzuri ya kushinda ubingwa mwaka huu. Sisi Chelsea tunawasindikiza tu. Ili na nyie mpate hata kidogo mfurahie kuchukua makombe makubwa na si hayo ya kunywea uji.
Arsenal kila la kheri