momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,049
- 2,164
Hii timu kama ina mchezaji Maghayo Saka haitafika mbali
Ina sikitisha sana, Chelkenge na nyumbu hamjawahi kuwa na akiliLeo mpigwe, na wote tuseme tawire
Bahatisheni na nyinyi, Thomas frank kocha wa tote alisema hamjui eze.
Subir next mechi mkicheza na mabingwa wa dunia, ntawakataa wachezaji wenu na kochaIna sikitisha sana, Chelkenge na nyumbu hamjawahi kuwa na akili
View attachment 3506484
Omba gyokeres asiwepo, maana mtakula mkono safari hii.Subir next mechi mkicheza na mabingwa wa dunia, ntawakataa wachezaji wenu na kocha
[emoji2][emoji2][emoji2] hizi kenge huwa tunajipigia tu sio chini ya chuma 3Omba gyokeres asiwepo, maana mtakula mkono safari hii.
naomba ordegard na gyokeres warudi chap, maana mkono ni haki Yao.[emoji2][emoji2][emoji2] hizi kenge huwa tunajipigia tu sio chini ya chuma 3
Naombea kikosi chenu kikamilike vzr ili tuliwalamba msije na kisingizioOmba gyokeres asiwepo, maana mtakula mkono safari hii.
Mkuu kumbe wewe ni shabiki la Chelsea?Subir next mechi mkicheza na mabingwa wa dunia, ntawakataa wachezaji wenu na kocha
Hapo ulipoandika Chelsea ongezea mabingwa wa duniaMkuu kumbe wewe ni shabiki la Chelsea?
Nimeshtuka sana 🤔
Ina sikitisha sana, amka usije uka kojolea godoro la mochwariNaombea kikosi chenu kikamilike vzr ili tuliwalamba msije na kisingizio
Omba gyokeres asiwepo, maana mtakula mkono safari hii.