Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hizi takataka mwaka huu naona kama wanaeleweka.

Sema yanakuwaga na akili mbovu sometime.
Lakini nawapa asilimia kubwa.
Tukiongelea mpira Wana nafasi kubwa, lakini kiushabiki arsenal wameumbwa tofauti sana na sisi binadam wa kawaida na wengi wao ni Wana CCM ndio maana akili zao zinatia shaka
 
Man city anaenda kutamatisha mbio za liverpool kwenye ubingwa, City anashinda hiyo mechi
 
Nyie humu Huwa mnajadili nini!!!

au mnakunywa gahawa kimya kimya
 
Toka waanzishe hili jukwaa lao hili (2006) hawajawahi kuchukua EPL. Maana yake katika umri wa miaka 20 ya jukwaa lao hili hawajawahi kupost hapa kombe lolote la maana.

Kuna mjinga bado anaita hii ni timu kubwa.
 
Baada ya kubembelezwa sana hatimaye mukatoa uroda πŸ˜«πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Toka waanzishe hili jukwaa lao hili (2006) hawajawahi kuchukua EPL. Maana yake katika umri wa miaka 20 ya jukwaa lao hili hawajawahi kupost hapa kombe lolote la maana.

Kuna mjinga bado anaita hii ni timu kubwa.
Bingwa man city, arsenal ndio basi tena... project yenu inazeeka bila kombe, na project ya man city inakaribia kuiva, man u inakuja, Chelsea anakuja, Liverpool yupo vizuri ni kocha tu....kocha emery yupo sokoni, arteta mzuri lkn Kwa makombe bado
 
Hata km ni ushabiki kuna muda tujaribu kuwa logical, sisi ku draw na Sunderland kwako unaona tayari bingwa Man city ! kwanini bingwa hukusema liverpool au timu yako au hata Chelsea aliye nafasi ya pili au sunderland aliye nafasi ya nne? ukamtaja city kwa kudhani utawatisha Gooners, aisee mbongo ni mtu hatari sana kwenye mambo negative,
 
Upo serious unategemea Arsenal kubeba kombe?!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…