Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,404
- 96,728
Naunga mkono hoja yako, jamaa ni mbugila sanaππ.π€£π€£π€£ Ila ndugu yangu Masingeli kwa hili unazingua kinoma,
Hili jukwaa la michezo hua linatukutanisha na kutuunganisha watu wa jinsia zote, dini zote, vyama vyote na makabila yote na tunajihisi wote ni kitu kimoja.
Ukitaka kuanzisha mambo ya dini au vyama utaliharibu hili jukwaa na kusababisha hata watu wa timu moja wachukiane na waanzishe vita ya wenyewe kwa wenyewe humu.
Kuna majukwaa tofauti tofauti na kila jukwaa lina kazi yake, mtu mwenye busara kila kitu hukiweka mahala pake.
π€£π€£π€£ Ila ndugu yangu Masingeli kwa hili unazingua kinoma,Una chuki na Mimi Hadi unatia aibu,
Kisa niliucharura uislamu?ππ
Ndio maana lihamia X kidogo Kuna wenye elimu, nacharura nao kuhusu Uislamu,halafu kwenye issues za Arsenal tupo pamoja na tunasaidiana
Kumbe wewe huku umeweka chuki πππ
Unataman unimeze kabisa
halafu jamaa hajui ana simamia nini, tuna zungumza mpira kakimbilia dini which is which.Wamekuambia ukweli.
Huna unalolijua kuhusu bolu,, tuliza makalio hayo,, nenda kanange dini za watu hilo unaliweza.
Halafu hashituki washikaji wote wana kataa uchambuzi na ushabiki wake uchwara,Mtu anaona timu inafanya wonders ndo anarudi
Siwezi kukuchukia mshamba wewe, nachukia ujinga na upuuzi wako.Una chuki na Mimi Hadi unatia aibu,
Kisa niliucharura uislamu?ππ
Ndio maana lihamia X kidogo Kuna wenye elimu, nacharura nao kuhusu Uislamu,halafu kwenye issues za Arsenal tupo pamoja na tunasaidiana
Kumbe wewe huku umeweka chuki πππ
Unataman unimeze kabisa
Masikini umejawa hasiraπSiwezi kukuchukia mshamba wewe, nachukia ujinga na upuuzi wako.
jifunze kutofautiasha mtu na hoja binafsi, najua huwezi kujua hili kwakuwa dishi lako lina kutu kitambo.
Kaka sialeta mambo ya dini humu, fatilia comment yangu uoneπ€£π€£π€£ Ila ndugu yangu Masingeli kwa hili unazingua kinoma,
Hili jukwaa la michezo hua linatukutanisha na kutuunganisha watu wa jinsia zote, dini zote, vyama vyote na makabila yote na tunajihisi wote ni kitu kimoja.
Ukitaka kuanzisha mambo ya dini au vyama utaliharibu hili jukwaa na kusababisha hata watu wa timu moja wachukiane na waanzishe vita ya wenyewe kwa wenyewe humu.
Kuna majukwaa tofauti tofauti na kila jukwaa lina kazi yake, mtu mwenye busara kila kitu hukiweka mahala pake.
Hii chuki itakuua wewe jamaa ,washkaji gani π€£Halafu hashituki washikaji wote wana kataa uchambuzi na ushabiki wake uchwara,
mpira tuna angalia wote ila yeye ana jikuta Mourinho wa bongo, na sisi hatutaki uwongo humu.
Toa sumu, Mimi huniwezi ,sambaza chuki ,kokote ,Mimi huniwezi,Naunga mkono hoja yako, jamaa ni mbugila sanaππ.
Mpira haujui, dini zenyewe hazijui, ana ruka huku ana kata gogo.
Sasa kipi kinakufanya unizungumzie Mimi Mzee ,kwasababu huyo mwenzako kakujaza?π€£π€£We kenge, huwezi kuniambia nitafute pesa hali ya kuwa sijawahi kukuomba msaada, familia yangu haili kwako,
Unapata wapi ujeuri wa kuniambia nitafute pesa π€£π
Narudia tena katika vitu siwezi maishani basi ni KUCHUKIA MTU, sijawahi kabisa kuwa na k8tu hicho moyoni.
Kikubwa tu mwanetu mie huwa nakuenjoy sababu ni kama mtu ambae kuna nati kichwani hazipo sawa vile.
ππ€£
π€£π€£π€£ Kuna jamaa hapo umemuita kobazi, mara umeanza kujisifu humu kua kuna watu wanakuchukia kisa unaupiga spana uislamu, hii haileti picha nzuri kwenye jukwaa la michezo.Masikini umejawa hasiraπ
Kaka sialeta mambo ya dini humu, fatilia comment yangu uone
Nimechangia kuhusu mpira
Sasa hao jamaa wanachuki kuhusu udini, wamenivaa huku
Mimi najitambua ,siwezi kujadili mambo ya dini humu
Mtu aliweka chuki yake kuhusu mambo ya dini ,basi ananivaa huku
Kule Twitter ,nazinguana sana maswala ya dini Tena na Wana arsenal wenzangu,
Lakin kwenye maswala ya Arsenal tunakuwa wamoja na Hadi tunasaidiana kabisa
Sasa nakupa kazi, fatilia hizo comment uone kama Kuna issue ya dini nilipost hapo,
Kama mtu anachuki na mm kuhusu maswala ya dini tukutane kwenye platforms za dini,
Simple tu
Nakubali chambuzi, nyumbu na kenge wamenenepa sana. Ni muda sasa wa kutembeza spanaAtletico walipopigwa goli la kwanza ,wakafunguka
Hapo ndio ilikuwa kosa
Ndani ya dakika 13 chuma 4
Pep siku ile alicheza kama Mourinho,hakuwa mjinga
Kwenye sakata hili hamis77 kayumba na yeye ndio kaanza kuleta udini lakini cha ajabu anakataaπ€£π€£π€£ Kuna jamaa hapo umemuita kobazi, mara umeanza kujisifu humu kua kuna watu wanakuchukia kisa unaupiga spana uislamu, hii haileti picha nzuri kwenye jukwaa la michezo.
Yote kwa yote tunaomba busara itumike, mambo ya dini na siasa yana majukwaa yake.
mkorea, makaveli10 keka lina zidi kusoma ππKwenye hizi point 15, liver aache 6 tu.
Trh 4 Chelsea,
Trh 19 man u
Trh 25 Brentford
Trh 1 Aston villa
Trh 4 madrid(uefa )
Trh 9 man city
Ukitaka kujua ushamba wa mtu ndio huo, kidogo tafuta hela as if ulimpa risiti ya kuomba funds kwake.π€£π€£We kenge, huwezi kuniambia nitafute pesa hali ya kuwa sijawahi kukuomba msaada, familia yangu haili kwako,
Unapata wapi ujeuri wa kuniambia nitafute pesa π€£π
Narudia tena katika vitu siwezi maishani basi ni KUCHUKIA MTU, sijawahi kabisa kuwa na k8tu hicho moyoni.
Kikubwa tu mwanetu mie huwa nakuenjoy sababu ni kama mtu ambae kuna nati kichwani hazipo sawa vile.
ππ€£
Umempa ushauri wa busara sana humu tupo dini kibao, angekua ana akili timamu angekusikiliza ila kwa kuwa dishi limeyumba anakaza fuvu tu.π€£π€£π€£ Kuna jamaa hapo umemuita kobazi, mara umeanza kujisifu humu kua kuna watu wanakuchukia kisa unaupiga spana uislamu, hii haileti picha nzuri kwenye jukwaa la michezo.
Yote kwa yote tunaomba busara itumike, mambo ya dini na siasa yana majukwaa yake.
Achana naye huyo hanaga akili kabisa nashukuru leo mmemtolea uvivu humu.Ukitaka kujua ushamba wa mtu ndio huo, kidogo tafuta hela as if ulimpa risiti ya kuomba funds kwake.
Habari za mpira, kakimbilia masuala ya hela π
Huyu ni mufilisi wa hoja π€£,Ukitaka kujua ushamba wa mtu ndio huo, kidogo tafuta hela as if ulimpa risiti ya kuomba funds kwake.
Habari za mpira, kakimbilia masuala ya hela π
Mpaka sasa kaacha 9, tuanze kumuombea na mabaya na man city sasa.mkorea, makaveli10 keka lina zidi kusoma ππ
Huyu ni CHENGA, niaminini mimi.. hayupo sawa kabisa.Kwenye sakata hili hamis77 kayumba na yeye ndio kaanza kuleta udini lakini cha ajabu anakataa
Kuna tatizo analo la Kisaikolojia kama la Manara kitu kidogo anaona ananyanyswa kila rangi yake , hata wanalo kutokana sifa Fulani waliyokuwa nayo mfano umasikini basi kila mtu akimwambia ukweli Fulani au jambo ambalo linamkwaza basi anaona anashambuliwa kisa yeye masikini.
hamis77 kwa ninii udhani kila anayekushambulia ni kobaz au anakushambulia kisa chuki za kidini ?
Unajiamisha vipi au unapata viashiria vipi kuwa huyu ananishambulia sababu ya dini au chuki kibafsi mbona jamaa hajaanzisha mambo ya kidini ila wewe tu baada ya kukukosoa ukamuita kobaz ?
Huyo jamaa namjua nje ya Jf kuwa sio Muislamu ila wewe ulimvesha Uilsamu baada ya kukushambulia , hapo hauoni kuwa wewe ndio umeyumba na unamatatizo ?
Tena naweza kuleta ushahidi wa mada zake za nyuma akiponda Uilsamu lakini wewe bila ushahidi na umeshajenga dhana kuwa mtu yeyote anayekushambulia humu Jf ni kobaz.
Mkuu upo emotional unstable unakosa composure unapopata personal attack ya nguvu mpaka unaongea visivyomana na hiyo ni mbaya sana.
Huyu alitoa hii comment haja quote mtu.Atletico walipopigwa goli la kwanza ,wakafunguka
Hapo ndio ilikuwa kosa
Ndani ya dakika 13 chuma 4
Pep siku ile alicheza kama Mourinho,hakuwa mjinga
Naona Umesha anza uchambuzi wako uchwara, halafu tukisha pigwa una kimbia jukwaa na kuanza kuhubiri dini zako uchwara.
Bro uchambuzi huwezi, arsenal tuachie kama ilivyo.
mkorea, makaveli10, HENRY14, Flano, Mbaga Jr.