TUende hivi hivi mpk teka letu Kai mikazo lirudi🤠🤠...Madunduka Madueke na Kai na Odegaard akirudi it will be very interesting....Kuna watu siku ya mechi watakuwa wanaachwa nyumbani maana hamna nafasi kwny substitution....tuna quality ya ajabu kabisa.....