Hivi huwa mnashiriki ligi ili mmalize nafasi ya pili au huwa inatokea bahati mbaya tu?
Unajua mmemaintain nafasi ya pili hadi nashindwa kuamini kama ni makusudi au bahati mbaya kwenu!
Kule Chelkenge alikuwa anacheza na wafukuza upepoππ...huku atacheza kwa ku enjoy sana....yaani bolu linapigwa mpk mpinzani ukifungwa unakuwa huna malalamiko....sisi na Chelsea lini kwani....maana ugomvi wetu haujaisha bdo