Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi haina ladha kabisaaa, tofauti na lile goli nadhani ndo ingekuwa mechi kubwa ya Kwanza mbovu. Mzani uko balance lakini level iko chini kabisa... Sijui Arsenal kimewakuta nini maana Liverpool haikuwa tishio kabisaaa.
Haupo sawa kichwani haikua tishio na imechukua pointi 3 mzee umepagawa nini😂🤣🤣🤣🤣
 
Umechanganyikiwa wewe yaani utoe sare na bingwa kirahisi hivyo eti au hujui kama Liverpool ni mabingwa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwaka wetu huu...KENGE nyie.
 

Attachments

  • Screenshot_20250831_210102_Threads.jpg
    445.2 KB · Views: 17
Arsenal mko vizuri, sema forward sio threat na hawapo sharp na hii inampa wakati mgumu gyokeres.

Arteta ni kiburi kama amorin...arteta ajitahidi squad selection
 
Haupo sawa kichwani haikua tishio na imechukua pointi 3 mzee umepagawa nini😂🤣🤣🤣🤣
Mechi mbovu Mzee, wewe hujui kitu. Nazungumzia level ww unawaza point Nani asiyejua kuwa Liverpool imeshinda?, level ilikuwa chini kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…