Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Martinelli ni bora acheze Trossard kwa sasa. Ila ule upande ushapata mtu, Eze anaweza km wide playmaker akawa anaingia ndani coz ni dribbler mzuri.

Ni hivyo tu Arteta mbishi mbishi.
 
Kamdomo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ile freekick ilikuwa kali.
Tunatakiwa kuanza kupenda kushoot tukiwa kwenye box au maeneo ya karibu na box.
 
Imagine Scoboslai amerelax kabisa kama beki kumkaba martinelli mpaka anafanya attacking. Scobo amekuwa na game nzuri sana kwa ajili ya wachezaji liability kama Martinelli. Arsenal bado hatujaacha tabia za kuwalea deadwood. Tunaangalia history zaidi kuliko kitu anachokitoa mchezaji kwasasa uwanjani.. Martinelli hakutakiwa hata kurudi uwanjani
 
Hata Madueke hakupaswa kutoka kwa dk zilizobaki maana alikua anaweka pressure upande wa kulia.. angalau angemuingiza Nwaneri kidogo yuko sharp na ni mpigaji mzuri.
 
Ingekuwa man u zile kona zote mlizopiga mngepata goal hata moja , maana mnamfunga Nyumbu kwa papatu papatu,, liverpool huko training ilikuwa ni namna ya kuzuia corner tu.
 
Mechi haina ladha kabisaaa, tofauti na lile goli nadhani ndo ingekuwa mechi kubwa ya Kwanza mbovu. Mzani uko balance lakini level iko chini kabisa... Sijui Arsenal kimewakuta nini maana Liverpool haikuwa tishio kabisaaa.
 
Qdadadeki ntawatag nyote Will Jr, Castr, HENRY14. Dirisha bado halijafungwa nendeni mukamsajili mpanzu bonge moja la winga atawafaa sio kama takataka Madueke nendeni Yanga pale kuna Mwamnyeto atawasaidia sana achana na Timber
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…