Sema hii timu Inalaana hamjijui tu.
Haiwezekani timu haijawahi kushinda UEFA miaka yake yote, yaani MANYUMBU ×3, LIVERPOOL ×6, CHELSEA ×2
Na j4 na j5 mnakuaga kwenye TV kutazama nini sasa?,, muwe mnasubiri weekend kama hivi tu.
At the end of this season nadhani Berta anawezakuwa na kazi nyingine kubwa ya kutafuta kocha mpya ambaye yuko matured kutuvusha hapa tulipo. Huyu kocha asipokuwa makini ataishia kuwa a new Mauricio Pochetino.
Well done Arsenal. It was a tough game away today, japo Liverpool kwa mechi ya leo walikua kawaida.. we could have gone with them toe to toe without Arteta's arrogance.
Free kick ndio imefanya mabadiliko, otherwise sikuona matokeo tofauti zaidi ya sare kwa timu zote zilivokua zikicheza.
All in all, nategemea mambo mazuri msimu huu maana pamoja na injuries bado tunabaki na timu nzuri.
Hii game Arteta alitegemea bahati zaidi kuliko uhalisia.. Mapungufu ya Martinelli alikuwa ameshaanza kuyaona tangia muda ndio maana hata mechi ya Leeds hakumuanzisha.. Unakuja kumuanzisha mechi ya Liverpool eti kwasababu ana bahati na Liverpool.. Bado mapema sana lakini Martinelli sio tena mtu wa kuanza kwa wachezaji waliopo kwa sasa