Arsenal (The Gunners) | Special Thread

skelly kuwa inverted fullback imekuwa na athari hasi zaidi kwa timu hasa inapopoteza mpira ,kasi hana ya kurudi kwenye eneo lake na pia wkt mwingine anajisahau mno yupo eneo gani uwanjani ,atafaa zaidi endapo haya mambo ya ku invert asipewe yeye.
 
Kutokana na injuries za Saka na Ø, pale Anfield tuanze na hii

Eze, gyokeres, Madueke (wapya wote)

Merino, Rice, Zubimendi

how do you feel abt this?
Nakuunga mkono na mguu.

Tatizo tuna kocha mjuaji saaana.
 
Hii Jesus ni mfanyakazi hewa.
 
Siamini kama walikuwa hawawaoni wachezaji wazuri, nahisi wamiliki wa timu wamebadilika na kuamua kutafuta makombe
Kaka wamiliki wamejirekebisha muda sana tangu Arteta apewe timu.

Shida ilikuwa kwa Arteta na Edu wake wazee wa 10%.

Huyo Madueke mwenyewe kaja kwasababu mwamba wetu wa usajili alikuwa bado hajayaelewa mazingira.


Ila kwasasa hautaona kiande labda Arteta alazimishe.
 
Calafiori atasumbuliwa na mbio za Salah. Lewis-Skelly angefaa zaidi ila bado hajatoka kwenye mood ya likizo.
Benjamin muhuni White anarudi wiki hii...kule kulia acheze yy halafu kushoto acheze Timber Huwa anacheza ule upande....kule yule Salah akakutane na kile kigingi....Calafiori hii mechi akae nje....huo ugomvi haumuhusu.....Kuna gemu pale Emirates Tomiyasu aliwahi kuchezeshwa kule kushoto akawa anatembea na Salah yule mjinga hakufukuta...Arteta anatakiwa arudie hili suala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…