Bahati kama ya first match, una shambuliwa ila still una pata point 3.Dunia inaenda Kasi sana.
Kaumia Kai yupo victor
Kaumia odegadinho yupo nanweri
Kaumia Saka yupo madueke
Nje una trossard,merino na eze eberech.
Unalitazama bench unamuona kiwior,white,mosquera,Lewis kipa level za kepa Yuko nje.
Halafu una kiwembe kama Downman kinasubiri dakika chache tu kilete matatizo makubwa.on paper tuna a good squad ila maisha yanahitaji sana "BAHATI" bahati ikiwa upande wetu labda tunaweza pata kitu msimu huu
Wahenga wanasema nyota njema huonekana asubuhi.Bahati kama ya first match, una shambuliwa ila still una pata point 3.
Aiseee.....Leads apigwe 5 kavu
Mdogo mdogo gari lita changanya toKuna rhythm tumeipoteza, japo game ya kwanza na man u tulikuwa hovyo zaidi, hii kipindi cha kwanza tukawa hovyo cha pili kwa mbaali tuwa arsenal, lakini chama hili bado..
Huyu ZUBIMENDI atulize akili, hajakaa sawa.
Odegaard ni kiazi, anaforce sana kukaa na mali, kibaya zaidi yule mtoto nwanweri nae anaiga ujinga ule ule..
Kuna sehemu kadhaa gyokeres alikuwa anatengeneza mikimbio na wao hawapasii wanaung'ang'ania mpira bila sababu za msingi..
Tumjaribu na eze tuone ataongeza nini, ila bado hatujawa vizuri.
Sana mkuuBahati kama ya first match, una shambuliwa ila still una pata point 3.
naona mwenyewe umejiachiiiia kwenye keyboard unatype tu. Tuombe uhai hiyo next weekMalizana na Joelinton kwanza Jumatatu na yule Elanga....halafu tuje kuzungumza ya wiki ijayo....nyny hamtufungi....litapigwa Loki la rice..merino na Zubimendi pale kati hakuna kupita....Timber atatembea na Salah...Benny Blanco na Yule kinega wenu gakpo....Saka na Odegaard hatuwahitaji....wakae nje mwezi mzima....tubaki na hawa wahuni
Wanaona wanamtania kumuita Jokeres kumbe wanamsifia 😀😀Utatulia tu, ni kama kwenye mchezo wa Karata, ukilitoa lazima mtu ale tano
Huenda Eze akamuweka Ode bench na Gyökeres, Madueke na akina Martinelli na Trossard wote wakafaidi sana na uwepo wake.Ule upuuzi anaofanya Odegaard na Nwaneri utasababisha tusiuone ubora wa Bouncer lenu Gyokeres, yaani mtu anajijua kabisa yeye sio Messi halafu analazimisha kukaa na mali mguuni muda ambao Gyokeres tayari ashajipatia position muruwa kabisa, matokeo yake kujigongagonga kama Budo Mutale possession lost no chance created. Mlikuwa sahihi kukomalia deal la Eze coz inaeleweka Mateta ameenjoy sana pass zake.
trosard apewqe nafasi pia, ili afaidi mipasi ya ezeHuenda Eze akamuweka Ode bench na Gyökeres, Madueke na akina Martinelli na Trossard wote wakafaidi sana na uwepo wake.
Hakika. Naona Madueke ataanzia upande wa kulia. Upande wa kushoto kuna mechi Martinelli ataanza (kama za Liverpool na Newcastle) na zingine ataanza Trossard.trosard apewqe nafasi pia, ili afaidi mipasi ya eze
Misimu kadhaa tumekuwa tukianza kasi sana halafu baadae tunakata moto.Kuna rhythm tumeipoteza, japo game ya kwanza na man u tulikuwa hovyo zaidi, hii kipindi cha kwanza tukawa hovyo cha pili kwa mbaali tuwa arsenal, lakini chama hili bado..
Huyu ZUBIMENDI atulize akili, hajakaa sawa.
Odegaard ni kiazi, anaforce sana kukaa na mali, kibaya zaidi yule mtoto nwanweri nae anaiga ujinga ule ule..
Kuna sehemu kadhaa gyokeres alikuwa anatengeneza mikimbio na wao hawapasii wanaung'ang'ania mpira bila sababu za msingi..
Tumjaribu na eze tuone ataongeza nini, ila bado hatujawa vizuri.
Wanaona wanamtania kumuita Jokeres kumbe wanamsifia
Mashabiki wa mid table team mna tabu saba.Baada ya Saka kuumia nasikia Tetea Kiwigi anaenda ku-hijack dili la Isak ili jumapili awepo dhidi ya Liverpool pale kwenye dimba la Kuku choma (Anfield)
Tokea jana usiku Isak kafanya mgomo wa kula na kupumua akishinikiza Newcastle wafanye haraka kukamilisha hili dili ili jumatatu atue Arsenyo.
Isak haitaki timu yoyote anaitaka Arsenyo.
Here we go soon. View attachment 3450985
Eze amesikia kilio chenu ndugu zangu....yule Odegaard akae nje kidogo...Captain unakuwa bishoo sana kama nn sijui.....