[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwamba anauliza unasema???ili tembo wa arsenal akae pale juu, inabidi nyumbu apigwe goals kuanzia 3
View attachment 3443370
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Picha za mashabiki wa Arsenyau zimeanza kuvuja dakika ya 90 kabla ya refa kupuliza kipenga cha mwisho.Nyumbu leo atavutishwa pumzi ya moto pale pale matofali ya kuchoma
View attachment 3443692
Kama Ndoa ya kiislamu zoezi tunafanyia upande wa mwanamke[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Picha za mashabiki wa Arsenyau zimeanza kuvuja dakika ya 90 kabla ya refa kupuliza kipenga cha mwisho. View attachment 3443868
Ati.??Mtapigwa sana leoView attachment 3443932
Tunaomba utabiri wako.Mtapigwa sana leoView attachment 3443932
Mpaka hapa aseno kashashinda.Mtapigwa sana leoView attachment 3443932
Kashatoa tayari cha msingi kwenye mkeka mpe aseno.Tunaomba utabiri wako.
Tulikuwa tunawapiga hadi 6 nyie mambo ya kawaida hayo game zimekuja kipindi cha mpito mbaya zaidi mlikuwa mnatuchukulia wachezaji wetu muhimu ili kutuangusha kipindi kile cha sakata la ukraine ila now tunawauzia reject tuu na huu msimu ndio wa malipizi mtagongwa sana na hii chelseaSafari hii nakupiga mkono (tano tano) home and awayView attachment 3428557