Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  • Real Madrid has 105 total trophies
  • Barcelona has 103 total trophies
  • Manchester United has 68 total trophies
  • Liverpool has 68 total trophies
  • Arsenal has 48 total trophies
  • Chelsea has 36 total trophies.
 
Muda sio mrefu kutakuwa na meme mpya ya phase 1 ya Thomas Frank ana kombe kubwa Ulaya dhidi ya phase 6 za arteta mshika nafasi ya pili king'ang'anizi [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema Chelsea mliwapa mbinu nzuri tu Spurs ila mkasahau kuwafundisha kushikilia bomba.
Ila Thomas Frank nae kazingua sana kwa subs zake za kipumbavu, alivyomtoa Kudus na Palhinha na kuwaingiza Gray na Mathys Tel ndio akawapa nguvu Psg ya kuwapelekea moto vizuri.
 
Haya maneno yako yatakucost
 
Hawakutumia mbinu yetu ndio maana wamefungwa sisi hatukupack bus kama wao sisi tulikuwa tuna press high ikafanya wasiwe wanaanzisha mashambulizi kuanzia nyuma ikapelekea wawe wanapiga mipira ambapo Sasa hiyo mipira tulikuwa tuna win sisi
 
Kenge na nyumbu kwaio mmeona humu ndio sehemu ya kufanya mazungumzo yenu?

Sasa Nyumbu ntakupiga 3+ hili jukwaa utaliona kituo cha polisi
Kenge dawa yako ipo jikoni, mshukuru mpo mbali kwenye ratiba ya kukutana na sisi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…