Sesko sio striker hatari ni wakawaida Nicolas Jackson ni Bora kuliko sesko. Sesko ni striker anakuwa na moment nzuri lakini Hana ile consistency performance na ndio maana simuhofii kwenda Man u
Mimi naomba man u wampate Sesko ili aingie choo cha kike na Isak asiende Liverpool. Huyu sesko ni overrated player ni mchezaji asiye jiamini na ndio maana anachukua muda mrefu kufanya maamuzi pili kiwango chake ni cha kawaida na asiye na consistency performance atakupa moment nzuri mechi chache nyingi utamuona average
Huyo Kokores tokea ametua Arsenyau ameshafanya kitu gani hasa cha maana mpaka ukajipa false hope ya kukupea 20+ goals?
Usichokijua huyo Kokores ni Højlund wa kuchemsha.
Mchezaji alietokea farmers league umtegemee Epl akupee 20+ goals kwa msimu wake wa kwanza ni kujilisha upepo na kutupatia sababu ya kuwacheka ifikapo mwisho wa msimu.